Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Iramba. Mwanafunzi wa Chuo cha Uuguzi Kiomboi, wilayani Iramba, anadaiwa kumtupa mtoto wake mchanga katika tundu la choo. Kwa bahati nzuri mtoto huyo ambaye alikaa katika choo hicho kwa saa 14...
3 Reactions
68 Replies
7K Views
  • Closed
Humo ndani ya hilo FILE kuna majedwali namba 1, 2, 3, 4 na 5. Orodha ya wamiliki halali wa vyeti iko jedwali na 3. Kama jina lako halipo jedwali namba 3 andika maumivu. Poleni sana kwa usumbufu...
0 Reactions
127 Replies
22K Views
Wakuu, kama tunavyoelewa idhini ya kujenga inatolewa na manispaa ktk mkoa uliopo na kabla ya kupewa kibali hicho ni lazima (mbali na vitu vingine)uambatanishe na michoro ya ramani ya nyumba yako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni tukio lililowaacha wengi na mshangao mkuu pale kwenye viunga vya mji wa Harare gari moja ilipopaki karibu na ATM za bank ya Barclays na akashuka nyoka aliyeenda mpaka kwenye ATM mojawapo na...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Nimesoma front page za Mwananchi na the Citizen ya leo Julai mosi 2017 ila kuna kitu nimeshindwa kuwaelewa kabisa. Mwananchi wamekuwa wakiripoti tena kwa msisitizo mauaji ya Kibiti, Mkuranga na...
4 Reactions
159 Replies
21K Views
Tbl kwanini mnatufanyia janja janja kwenye hii bia ya balimi. Balimi iliyokuwa imekubalika sana ni ile balimi extra lager sasa mmetulea uchafu gani tena huu wa balimi fahari ya mavuno. Je ni...
3 Reactions
56 Replies
17K Views
Date::5/14/2009 Kesi ya Manji dhidi serikali kusikilizwa Julai Na Sadick Mtulya Mwananchi GODWIN Muganyizi, wakili wa mkurugenzi wa kampuni ya Quality Group Ltd, jana alikwamisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
heka 12.5 kwa sh 20m kwa mwaka na mkataba wa miaka kibao na UDA. Huyu Gabachori ni adui yetu mkubwa anahutujumi huku anatuchekea. Tunazo kumbukumbu zako nyingi za mauziano ya maghala ya Ubungo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, amesema yeye ni miongoni mwa waathiriwa wa huduma mbaya na manyanyaso wanayofanyiwa wagonjwa na...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari za saa hizi wadau, natumaini mko poa .. Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi Jiji LA Arusha ni jiji ambalo lina uzuri wake kuanzia mandhari mpaka tourism gateway.. Sasa kitu kinacho...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, Viongozi wa upinzani nawashauri kuwa mnakaa pamoja mara kwa mara kujadili mambo mbalimbali ambayo mnaona yana umuhimu katika kuishauri serikali au jamii kwa ujumla na kisha...
1 Reactions
2 Replies
553 Views
Wizara ya utumishi imetoa maelekezo kwaa maafisa utumishi kuhakikisha waatumishi wote ambao wamekutwa hawana hatia baada ya kukata rufaa kufuatia kadhia ya vyeti vyenye utata na vyeti feki...
2 Reactions
67 Replies
13K Views
kwa maelezo yake hapo chini anashauri kuacha vyakula vya wanga kabisa ili kuweka mwili kwenye afya nzuri mimi sijaelewa unawezaje kukwepa vyakula hivyo haya ndio maelezo yake pia unaweza...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Pale mzumbe nilikopata elimu yangu ya secondary form 1~6 ni shule ya mchepuo wa kilimo kwa o'level,walimu wengi kama siyo wote wa kilimo pale wamesoma sua,kupitia kwao nilikubali kuwa sua wanatoa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Imeripotiwa Bungeni kuwa hatuna wataalam wa abirtration serikalini ndio maana serikali inabidi kukodi wataalamu binafsi kutuwakilisha katika kesi nyingi za abirtration na kuwalipa watu mamilioni...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Kuku wangu wameanza kutaga,lakini cha kushangaza inaweza kupita siku kadhaa hawatagi, yaani usipowafungia bandani kwao basi ndio kabisa hawatagi. na uchunguzi nilioufanya nimegundua wanataga kwa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu wasalaam! Naipenda sana nchi yangu na pia mimi ni mzalendo kwa nchi yangu, natamani Tanzania ingekuwa na viongozi shupavu wenye hekima na wale wawe wacha Mungu sio wale kutwa kucha kwa...
0 Reactions
5 Replies
871 Views
AUDIO; MADEREVA WALIOTEKWA CONGO WAPATIKANA KAGERA Madereva kumi kati ya 21 wa Tanzania walikokuwa wametekwa mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, wamefika Morogoro wakitokea mkoani...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Habarini Nauliza naweza pata njia mbadala ya kuhakiki cheti pasipo kwenda necta..... hasa mwenye link ya website inayoweza kuhakiji cheti naomba haiweke humu... au njia yeyote ile.. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wakazi wengi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa, jina la Kijiji cha Gambosi haliwezi kutamkwa bila ya kuongezea sifa za uchawi na maisha ya imani za kishirikina. Ingawa wengi wamezoea kutamka...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…