Natamani Tanzania ingekuwa hivi:-

Natamani Tanzania ingekuwa hivi:-

vnn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
3,030
Reaction score
7,500
wakuu wasalaam!

Naipenda sana nchi yangu na pia mimi ni mzalendo kwa nchi yangu,
natamani Tanzania ingekuwa na viongozi shupavu wenye hekima na wale wawe wacha Mungu sio wale kutwa kucha kwa waganga wa kienyeji'.

Natamani viongozi wote wangependana na kwa pamoja wakaondoa tofauti zao ili watuunganishe watanzania tuwe kitu kimoja visasi na chuki ni kazi ya shetani.

Natamani Tanzania tungekuwa na utajiri mkubwa wa akili na mali tusiwe watu.
 
Back
Top Bottom