Rufaa ya vyeti vyenye utata hadharani, 47% walikuwa wanatumia vyeti visivyo vyao

Status
Not open for further replies.

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Humo ndani ya hilo FILE kuna majedwali namba 1, 2, 3, 4 na 5.

Orodha ya wamiliki halali wa vyeti iko jedwali na 3. Kama jina lako halipo jedwali namba 3 andika maumivu.

Poleni sana kwa usumbufu uliowapata wasomi wetu.

NB: Wale wa vyeti FEKI matokeo yao nao yatatoka muda si mrefu hivyo wavute subira.
 
Attachments

  • DOC-20170708-WA0001.pdf
    1.6 MB · Views: 292
Hili zoezi nalo utata tu, ni bora kwenye haya matokeo wangetuwekea na zile index namba za matokeo yao kama walivyofanya awali, kuna watu walikuwa na utata kwa vyeti vyao kuwa na index namba sawa leo unasema halali kivipi? Kama index namba zilikosewa awali zingeandikwa kwa ufasaha au zingeainishwa sababu ya nini kilitokea mwanzo.
 
Sasa unagomea matokeo hayo?
Watanzania bwana hamuishiwi vituko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom