Yupi aliye sahihi kati ya kauli hii?

Yupi aliye sahihi kati ya kauli hii?

Maarab

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
415
Reaction score
257
"Kazi imekushinda nenda ukalime".

Yule muajiriwa/Boss flani hupenda kuitumia hii kauli kwa kuwa yeye anaetegemea kupata ujira kupitia muajiri wake ama kujilipa.

Dhana ya kilimo inachukuliwaje kuhusu hizi kauli za wanasiasa wachache.

JE, KILIMO SIO KWELI KINA TIJA KAMA WAO WANAVYOSEMA AU AJIRA NA KAZI ZINGINE NDIO ZIKO NA TIJA?
 
Lakini kweli, Kazi imekushinda nenda ukalime.
 
Mbona kauli inajitosheleza kabisa hiyo, kama huwezi kuwa mtumwa wa ajira basi nenda kajiajiri kwa shughuli za kilimo...

Mathalani mtu akikuambia, "Kama umeshindwa kukalia matako basi kalia kichwa", wewe ungeelewa vipi?

"Kazi imekushinda nenda ukalime"...

yule Muajiriwa/Boss flani hupenda kuitumia hii Kauli kwa kua ye anaetegemea kupata ujira kupitia Muajiri wake ama Kujilipa.

Dhana ya Kilimo inachukuliwaje kuhusu hizi kauli za Wanasiasa wachache..


 
Mbona kauli inajitosheleza kabisa hiyo, kama huwezi kuwa mtumwa wa ajira basi nenda kajiajiri kwa shughuli za kilimo...

Mathalani mtu akikuambia, "Kama umeshindwa kukalia matako basi kalia kichwa", wewe ungeelewa vipi?



amedharau Kichwa kwakua kamwe huwezi kukalia kichwa..thats why ndo maana nikasema hizi kauli ni za Kimakosa na za Kikeukwaji wa dhana nzima yaMisingi yahaki za Kazi.
 
Mbona kauli inajitosheleza kabisa hiyo, kama huwezi kuwa mtumwa wa ajira basi nenda kajiajiri kwa shughuli za kilimo...

Mathalani mtu akikuambia, "Kama umeshindwa kukalia matako basi kalia kichwa", wewe ungeelewa vipi?



Iwaje Kauli hii unatumiwa kama Kudhalilisha Kazi yaKilimo kwa mtu aliye ghafilika ktk Kazi ya Kuajiriwa..why asiseme kama Kazi imekushinda"nenda kajiajiri presently hapo yeye yuko Serekali?
 
Iwaje Kauli hii unatumiwa kama Kudhalilisha Kazi yaKilimo kwa mtu aliye ghafilika ktk Kazi ya Kuajiriwa..why asiseme kama Kazi imekushinda"nenda kajiajiri presently hapo yeye yuko Serekali?
Kilimo ni kazi ambayo ni wewe, jembe na ardhi tu...

Yaani kwa lugha nyingine kuna uwepesi wa kuitekeleza...
 
Back
Top Bottom