Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,427
- 1,061
Nimeiona DSTV channel namba 295, TV E Tanzania. Inagonga video za Music mwanzo mwisho. Ni nani anamiliki hii hapa Tanzania?
EATV na Clouds TV wakae chonjo
===============================================
amanda cute
Kuna kaubishi nimeukuta mahali watu wanabishana leo kuhusu hii station ya E-FM na TV E wanavyokuja kwa kasi hadi kutishia amani pale mawingu maana kila unapopita mitaani na kwenye daladala watu wamefungulia E FM na ukiingia Bar or Club nyingi ni TV E.
Watu wanasema kuna alie nyuma ya hizi station, je kuna ukweli?