body contact
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 130
- 136
Hiv ni kweli kuna mdudu ndani sikio?na kama sivyo,ni nini maana sahihi ya msemo huo?
Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
umenikumbusha wimbo mmoja hivi wa wahenga .......mdudu huyooo mdudu kaingiaje....mdudu ndani ya kokwa mdudu kaingiaje.....mdudu ndani ya kokwa la embe kaingiaje.........Hiv ni kweli kuna mdudu ndani sikio?na kama sivyo,ni nini maana sahihi ya msemo huo?
Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app