Mtu kaajiriwa mwaka 2012,mpaka leo 2017 hajapandishwa daraja.
(2017-2012=5).sheria za utumishi zinasema kila baada ya miaka 3 tu mtumishi anatakiwa apande daraja.
Nasikia toka mwaka 2016 hakuna nyongeza yoyote ya mshahara.
Kwa mantiki hii nathibitisha kwamba waajiriwa wengi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri...Maana Wanapoteza muda mwingi kufanya kazi ambazo hawapati hata mahitaji yao ya Msingi.