Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,171
2,000
Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe
Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana Hakuna Rafiki Mzuri Ulienae Akujuae Vzr Kama Nafsi Yako Mwenyewe
Wengi Watakuambia Hauwezi Lakini Nafsi Pekee itakuambia Jalibu Utaweza

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiki ndicho pekee ulichokikusudia tukifahamu Mkuu?
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,290
2,000
Kwahakika...
Mimi ni mimi, na lazima niweze kufika pale ninapo patamani kufikia nikiwa mimi...
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,196
2,000
Mkuu ahsante kwa wazo fikirishi.
Ila haujajazia nyamanyama.
Ndiyo maana M/M Muumba, wazungu wanamuita "Lord".
Maana yake ni kwamba Mungu ni tajiri asiyetetereka, asiyeishiwa kilakitu ukijuacho wewe mwanadamu.
Sura zingekuwa zinabuniwa na wasanii, ingefika sehemu wakapumzika na kusimamisha uumbaji wa binadamu kwa maelezo kuwa wameishiwa na hawajatoa sura mpya.
Unaambiwa tangu kuumbwa kwa dunia, kama ulivyosema, kila mtu ana sura yake, hata mkifanana, lkn kila mtu na sura yake, fingerprints zake na roho yake nk nk.
Na ukifa vitu hivyo hufutwa na havirudiwi kupewa mwingine, yaani vinafutwa milele.
Hayo kwa uchache ndiyo maajabu ya Mungu katika uumbaji wa mwanadamu.
 
Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,217
2,000
Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe
Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana Hakuna Rafiki Mzuri Ulienae Akujuae Vzr Kama Nafsi Yako Mwenyewe
Wengi Watakuambia Hauwezi Lakini Nafsi Pekee itakuambia Jalibu Utaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa,japo wazo lako siyo geni. Na pengine ni kwa vile liko kwenye lugha ya Kiswahili. Ukisoma Mendelian theories of genetics utapata maelezo mazuri kuwa watu au viumbe vya asili (specie) moja havifanani kwa kila kila kitu,na sababu zake.
 
komamgo

JF-Expert Member
Sep 14, 2012
1,658
2,000
Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe
Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana Hakuna Rafiki Mzuri Ulienae Akujuae Vzr Kama Nafsi Yako Mwenyewe
Wengi Watakuambia Hauwezi Lakini Nafsi Pekee itakuambia Jalibu Utaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Good self recollection image
 
nasssen

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
475
500
Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe
Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana Hakuna Rafiki Mzuri Ulienae Akujuae Vzr Kama Nafsi Yako Mwenyewe
Wengi Watakuambia Hauwezi Lakini Nafsi Pekee itakuambia Jalibu Utaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umejichanganya tena mwenyewe? Duniani wapo wengi tu wanaofanana na wewe lakini wewe ni wewe!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom