Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna watu ambao katika maisha yao yaligubikwa na umwagaji wa damu au kuua watu. Mpaka majina yao yakitajwa watu wanashtuka. Mfano wa majina hayo ni Jonas Savimbi, Idd Amini Dada, Fodei Sanko...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Kama kickwa cha habari kinavojieleza.Tunaona TV kama Clouds imechukua nafasi ya kwanza ambayo ilkua inamilikiwa na EATV kwa muda mrefu.Kitaani masela tulikua tunachek sana FNL mida ya Ijumaa ila...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari wadau, kuna project naifanya ya ubunifu mavazi.. nina plan ya kupanga ofisi seshemu salama na yenye watu wengi wanaopita pita na kuona bidhaaa mfano kkoo.. mwenge, udsm campus etc.. hizo...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
MBUNGE LEMA NA NAIBU MEYA WAMUONYA MKURUGENZI. Kwa mara nyingine madiwani wa kamati ya fedha jijini Arusha leo wamegomea kuendelea na kikao cha robo ya nne cha kamati hiyo kwa madai kuwa hadi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Shida Nin Umeme Kukatika Kira Siku Mida Ya Saa Mbili Na Kuwaka Badae Mpaka Time Ya Saa 3 Au 4 Shida Nin Jaman Hili Tatizo Limeanza Tangu Juz Umeme Unakatika Tuu Yani Ninapo andika Makala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WANAWAKE 1000 WAFUNGA SIKU TATU, WAMUOMBEA DK MAGUFULI Wanawake zaidi ya 1000 kutoka ndani na nje ya nchi wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuombea Rais John Magufuli huku wakiwa...
8 Reactions
120 Replies
9K Views
Ndugu naombeni kujulishwa lodge au gest nzuri na ya bei nafuu Songea mjini karibu na stand tafadhali. Vile vile sehemu nzuri ya kupata totozi za kingoni, natarajia kutua hapo mwendo wa saa kumi na...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu, Jana mwenzenu nilipatwa, nikaja kuokolewa na zawaidi nilopewa na Mpenzi wangu bila kujijua. Ilikuwa jioni jioni hivi sehemu nasikilizia siku inaishaje. Mara nikaona mtu...
4 Reactions
48 Replies
13K Views
Mh. Raisi kwa kuzingatia utendaji kazi wako na kusimamia maslahi mapana ya jamii, kuna maandalizi ya kujenga makao makuu ya wilaya katika bonde lililopo kijiji cha Segese na Ntobo. Naamini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa!! Hope nyote mko poa, ujio wangu ndani ya jukwaa usiku huu ni kuuliza kama kuna mwenye ufahamu kuhusu vyeti vya certificate na diploma kwa kada tajwa hapo juu kwa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
*Raisi wa TLS yupo mahabusu *Raisi wa TFF yupo mahabusu *Raisi wa SIMBA yupo mahabusu *Raisi wa YANGA yupo mahabusu Raisi ni mmoja tu nchi hii,dadadadeki...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mr huyu, namuona katika taarifa mbalimbali za habari, akifanya kazi yake kwa ufasaha na weledi katika kulinda mazingira Tz. Amekuwa akifunga viwanda vingi vinavyokiuka sheria na taratibu za...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Leo katika ziara ya rais Magufuli wilayani Kakonko Kigoma, rais wakati anaelekea kupanda gari kuelekea wilayani Kasulu aliibuka mtanzania mwenzetu mwenye ulemavu wa miguu lakini alijitambulisha...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Vyombo vingi kama siyo vyote vya habari hapa nchini vimelemewa na madeni na vingi vyake wafanyakazi wake wanafanya kazi nusu kujitolea na nusu wanalipwa mishahara. Mishahara na fedha za kuendeshea...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Nipo naangalia malumbano ya hoja ITV, Mada inasema "VITUO VYA MAFUTA KUSHINDWA KUTEKELEZA MAAGIZO YA SERIKALI NA KUSABABISHA USUMBUFU KATIKA UPATIKANAJI WA HUDUMA KWA, JE WANAWAJALI WATEJA WAO...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
HOJA BINAFSI: TUTUMBUE JIPU? SERA YA ELIMU KATIKA SERIKALI YA MAGUFULI, ELIMU BURE. naunga mkono sera hii ya elimu bure, naunga mkono utendaji kazi wa rais wangu kwa aslimia kadhaa wa kadhaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni masikitiko kwamba tokea juzi mitandao ya simu iliyvyopigwa faini kwa makosa mbalimbali tayari maumivu yameanza kwa sie watumiaji wa huduma hizi. Mfano mzuri ni hawa Halotel. Tokea juzi...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, kuna baadhi ya watumishi huku Meru, nikiwemo mimi mwenyewe tumepata ongezeko fulani katika salary ya mwezi huu. Kuna watu wamepata mpaka ongezeko la Tsh. 55,000 kwenye salary zao. Sijui...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hili jambo wengi sana hulibeza, wanalichukulia mzaha lakini si mzaha ndo uhalisia ulipo. Zipo njia mbili tu za kukufanya utajirike, wala usidanganywe na mtu au kujidanganya mwenyewe eti ni...
0 Reactions
25 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…