Mi nina interest na mambo ya aviation na ningependa one day tuwe na shirika kubwa sana la ndege.nimefurahi Dash 8 Q400 ya tatu imeanza kuruka kwa majaribio.Inshallah mwezi ujao au wa tisa itakuwa...
Msaada mniambie jeshi la police mtatangaza lini nafasi za kujiunga na jeshi hili?
Pia nna ushauri acheni kuchukua vijana fresh from school huku kitaa wamejaa vijana kibao wenye nguvu,akili,maarifa...
Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa...
Siku hizi Hali imechenji Sana.Inazidi kuwa vigumu kulea watoto.Wazazi wanawasiwasi kukaa sebuleni Kutazama TV na watoto.
Asilimia kubwa ya nyimbo wasichana wanavaa nguo za ndani tu Tena nyimbo za...
Kenya and Tanzania have ended their long-running trade hostilities and lifted restrictions on some products. Among the products that had heightened the animosity between the two countries in the...
Habari za jioni Wapendwa
Kuna hii kitu inaitwa Terms And Conditions au kwa kimombo ni Vigezo na masharti. Napenda kujua ni wangapi huwa tunasoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Hapa chini...
Wahenga walipata kusema "usilo lijua litakusumbua" Acacia hamkujua kuwa watanzania walipata kuambiwa toka awali kuwa "mkataa kwao ni mtumwa" japo si wote huikataa Tanzania mkajijengea imani kuwa...
Kuna ndugu yangu anapenda sana kujiunga na jeshi la polisi au magereza. Lakini anapenda afanye hivyo baada ya kuhitimu chuo kikuu.
Anataka asome Bachelor of Law Enforcement ya chuo kikuu cha...
Hakuna kazi inayofundisha kuwa mvumilivu kama kilimo. Kuna wakati waajiriwa wanapokea mpaka mishahara 12 na wewe hakijakulipa bado.
Ila imeripotiwa the next generation of billionaires itahusu...
Naomba Msaada tutani wana JF, kuna hiki kichwa cha habari cha Moja ya magazeti yetu kisemacho "Uhalifu umepungua nchini, ubakaji umeongezeka!" Hivi ubakaji si uhalifu...
Njombe ndio inaongoza kwa kuwa na viwango vikubwa sana vya watu walioathirika na Ukimwi, huku Pemba ikiwa ni ya mwisho kabisa katika mikoa ya Tanzania.
Mikoa Mingine yenye viwango vikubwa vya...
Wakuu habar zenu..
Naitaji huduma ya kuchimbiwa kisima kirefu cha maji.
Mwenye kujua kampuni zinazotoa huduma hii naomba anijuze tafadhari
Niko dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni ya udalali ya Yono inatarajia kupiga mnada Jengo la gorofa 7 la Abla Complex lililopo Mikocheni Dar es Salaam August 12 2017 kutokana na Mmiliki kushindwa kulipa mkopo anaodaiwa na KCB...
Habarini wana jamvi, kwa mwezi huu wote nimekuwa bega kwa bega sana na kupitia FORUMS za Jamiiforums na kuangalia maada mbali mbali zilizojadiliwa, maoni ya watu kwa maada husika, mchango wa...
Napenda kujuzwa wakuu, inakuwaje kunakuwa na tofauti ya ngazi ya mshahara baina ya Kada moja na nyingine ili hali ngazi ya Elimu inafanana, mfano Mhitimu wa ngazi ya Diploma fani ya...
Wakuu,
Nimesoma kwenye social media eti waganga wa kienyeji wa Tanzania wanamiminika katika nchi jirani ya Kenya ili kuwasaidia wanasiasa wa nchi hiyo kushinda uchaguzi nchi humo .
Wajinga ndio...