Watu wana furaha mahakamani kama wako kwenye mnada wa ng'ombe. Mtuhumiwa wa kesi ya kitaifa kapanda pick up? Kelele ndani ya mahakama, simu na makamera. Mtuhumiwa kavaa tisheti. Marekani hata...
Kama kichwa cha habari kinavyosema Shule ya msingi Malungu wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma Songea Tanzania inakabiliwa na changa moto ya waalimu,
Ina wanafunzi 445 lakini waalimu wanaofundisha...
WanaJF, salaamu.
Nilitaka kununua king'amuzi cha continental, ila nimeghaili baada ya kuona watu wengi wanakipaka mbovu kuwa ni king'amuzi cha hovyo hovyo to the fullest! japo kinasifika kwa HD...
MCHELE WA PLASTIKI; AFRICA'S SOCIAL MEDIA HOAX
Mchele wa Plastic, ni uzushi wa mitandao ya kijamii/social media illusion. Habari hizi zimefika Africa miaka miwili au mitatu nyuma lakini kwa Ulaya...
Katika hali inayo tia moyo na kuhamasisha watu kutoa maoni yao ili kuishauri serikali, ni pale ambapo ushauri utazingatiwa na kufanyiwa kazi japo Kwa majaribio! Mkuu Wa wilaya umetupa moyo na...
Tulikuwa tunajadili hapa, unajua kuna watu wameumbwa na roho mbaya ajabu, wakikuona unaumia, unapata shida, huna kazi, huna pa kwenda, unapigwa etc, wanafurahi yaani roho yao hapo ndio ina furaha...
Milioni tano ukiongeza sifuri ni milioni 50.
Watu milioni tano wakilipa kodi ya mji sh 10 kwa mwezi ni milioni 50.
Je wakilipa mia kwa mwezi? Watafikisha milioni 500.
Milioni mia tano kwa...
Habari wana JF,
Leo katika pita pita zangu nimedondokea airport.. Parking ni shida, magari mengi sana hata sehem ya kupark ni finyu, kilichonishtua Katika ulipaji wa parking bei ni ya juu kidogo...
Mh. Magufuli na wana JF habari za kazi? Rejea kichwa cha habari hapo juu....chahusu kuwahimiza wanafunzi vyuoni kudesa.
Wandugu suala la kudesa ndo kila kitu ulimwenguni. Mimi nimesoma chuo kikuu...
Katika siku niliyopata stress ni leo.
Jana nimepika zangu nyama roast nusu kilo nimeipiga nikabakisha kiasi. Hii kama akiba ya leo tena. Saizi naingia ndani nawasha taa hapa naona mstari mweusi...
Straight to the point
Huko Acacia walipotinga yaani hiyo mahakama ya biashara jijin london kiboko yao ni wale wabunge watatu wazalendo, Goodluck,kibajaji na msukuma.
Kibajaji atachachafya pale...
Huku Kwangu nchini Puerto Rico nilipo sasa nikiendesha shughuli zangu sasa yapata mwezi wa Sita ( 6) hivi nawaona mara kwa mara Police wa huku na hata Watendaji wa Magereza pindi wanapokuwa na '...
Nisiwachoshe,ipo hivi,
Siku za hivi karibuni wameibuka watu ndugu na jamaa kuniomba sana fedha wakidai wana shida sana sana.
Kuwasaidia sio kesi kwani maisha ni kusaidiana.Sasa kinachoniuma...
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limefanya ukaguzi wa kushitukiza kwa mabasi ya kusafirisha abiria kwenda mikoani wilayani na maeneo ya vijijini na kugundua makosa mengi kwenye magari hayo ambapo...
Mambo ya kibongo ni ya hovyo hovyo sana, huyu jamaa yetu Jamali Malinzi rais wa TFF anafanyiwa zengwe la kutosha...
Mkuu nakujua sana wewe ni member mzuri hapa jukwaani, endapo utapata fursa ya...
Iringa. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefunga maduka ya wafanyabishara wasiotumia mashine za kielektroniki za EFD.
Hatua hiyo imekuja baada ya maofisa wa TRA kufanya ukaguzi wa kushitukiza...