Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nikiwa katika halmashaur ya Bukoba vijijini nimekutana na migongano baina ya wanakijiji na uongozi wa shule ya msingi Kilaini, wakiwa wanazozana juu ya hatima ya wanafunzi wawili wakike...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliekuwa mkuu wa shule ya secondary Mkwese ilioko Manyoni Mkoani Singida, Rashidy Dia Kiya ametutoka Amefariki leo usiku dar er salaam katika hospitali ya hindu mandary tuko hapa kwa utaratibu wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Huyu ni mkurugenzi mtendaji wa Itv/Radio One, ni Mama shupavu, jasiri na mwenye uthubutu ambapo kwa miaka zaidi 15 amezisimamia taasisi hizi kwa kuwa na vipindi imara vyenye kuleta tija ya...
12 Reactions
39 Replies
5K Views
Jerusalem. Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Hebrew-Hadassah Braun, cha Jerusalem umebaini kuwa kiwango cha mbegu za kiume kwa wanaume duniani kimepungua kwa zaidi ya asilimia 50. Utafiti...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Pana msemo 'siku njema huonekana asubuhi'. Ki ukweli tangazo la king'amuzi cha 'continental' ni hovyo hovyo kabisa, sijui walioliandaa hawalisikii au vipi? Hebu wajaribu kusikiliza/wajifunze jinsi...
3 Reactions
134 Replies
16K Views
Dar es Salaam. Tanzania imeshika nafasi ya tatu kati ya wapokeaji wakubwa wa misaada ya Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (Jica) miongoni mwa nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sioux City. Majeruhi wa Lucky Vincent, Saidia Ismail na Wilson Elipokea, wanatarajia kurudi nchini Agosti 18 baada ya kukamilisha matibabu yao yote nchini Marekani. Majeruhi mwingine, Doreen...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jamvi, Ninakuja kwenu tena na sasa ni kama kichwa cha habari kinavyosomeka Hapo juu. Kwa kweli kumekuwa na mtokea mbalimbali ya unyanyasaji kwa watoto,iwe wale wa majumbani na...
1 Reactions
1 Replies
782 Views
Mimi ni mwanaume ambaye nimekodi chumba sehemu x na nipo single cha kushangaza uck nikilala nasikia mwanamke analia chumba chumba kila baada ya ck kadhaa huku sauti ya kitanda kama kinavunjika...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Baada ya mkazi wa Mharani kwa Matiasi wilayani Kibaha kukutwa amefariki dunia kwa kuuawa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja usiku, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Jonathan Shana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimeJiunga na familia ya King'amuzi cha Continental Tsh. 95,000/ tu, baada ya kuunganisha kwa kweli kimenifurahisha sana, picha zinaonekana vizuri, hakina chenga chenga, nimerekodi kipindi...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Watu watatu wa familia moja wamejeruhiwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni tindikali kwa kumwagiwa usoni, kifuani na mikononi mwao tukio lililotokea usiku 3:30 ya tarehe 19.07.2017, eneo la Manga...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nijamboo la huzuni Sana'a baadhi ya wateuliwaa wanataka kumwangusha mh Raisi kwa kutoelewa maana ya wawekezaji Mwekezaji anapotuma MTU kujakufanya research nakuandika alichokiona sio lazima akupe...
1 Reactions
5 Replies
964 Views
NYAMA nyekundu ni kitoweo kitokanacho na wanyama. Mbali na wanyama wa porini, watu wengi hupata nyama hiyo kutokana na kuchinja wanyama wafugawao kama ng’ombe, mbuzi, kondoo na ngamia. Nyama...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Geneva, Uswisi. Polisi nchini Uswisi imesema inamshikilia mtuhumiwa anayeaminika kufanya shambulio na kujeruhi watu kwa kutumia msumeno Jumatatu, Julai 24. Taarifa zinasema shambulio hilo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MSICHANA wa miaka 19, Elizabeth Chengula anaelezea anavyoishi maisha ya shida ambayo ni pamoja na kupata mtoto mwenye tatizo la utata wa jinsi yake huku madaktari wakifafanua tatizo hilo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Tanzania and China are considering cooperating in internet and new media to control cybercrime. Tanzania said yesterday that it was struggling to protect citizens and businesses...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawaza nn maana ya democracy.... Kila kiongoz anasema anahimiza democracy... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Salaam wakuu, Nimekuwa nikiwafatilia watu kadhaa hapa wataalamu wa maswala ya kimajini na uchawi. Samahani naomba kuuliza je unaweza nunua pete yanye maazi ya kijini na ukaweza kuifanya kuwa na...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…