Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,408
Salaam wakuu,
Nimekuwa nikiwafatilia watu kadhaa hapa wataalamu wa maswala ya kimajini na uchawi. Samahani naomba kuuliza je unaweza nunua pete yanye maazi ya kijini na ukaweza kuifanya kuwa na nguvu?
Na mvuto je kama inawezekana ni njia ipi hutumika?
Tafadhali wale wataalamu wetu tupeni elimu hapa.