Chumba cha jirani

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
6,488
9,431
Mimi ni mwanaume ambaye nimekodi chumba sehemu x na nipo single cha kushangaza uck nikilala nasikia mwanamke analia chumba chumba kila baada ya ck kadhaa huku sauti ya kitanda kama kinavunjika ambapo kwangu ni kero kero yan cku hizo zkifka silali vzr kwa sababu ya makelele nifanyeje aisee..mbona huo ugomvi haushi kila wiki nimechoka sasa.
 
Wewe si Mwanaume, Wewe ni Mvulana. Wanaume huwa hatuandiki hivyo!
 
MKUU HAPA NAONA TATIZO NI WEWE KWANINI USIKILIZE YANAYOTOKEA CHUMBA CHA JIRANI.CHA MUHIMU WEKA EARPHONE MASIKIONI KISHA SIKILIZA MZIKI WAKO TARATIIIIIBU UKIUTAFUTA USINGIZI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom