Nimeshangazwa na akili mbovu ya huyu sam missago anavyoendesha kipindi bila upeo. Anawahoji wadada wawili kuhusu mapenzi anasema eti vijana wanakula chakula bila chumvi ili wakalambe chumvi kwenye...
Ktk kona ya vingunguti barabara ya nyerere zimefungwa taa za kuongozea magari ambazo zinasababisha foleni tu. sijui hawa wajenzi wanajifunzia wapi pyuuu!
habari wanaJF
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, mimi naona Bunge letu la jamhuri ya muungano lina ongoza kwa kuwa na uzuri/ mvuto ndani na nje. Ila hususani uzuri wa ndani...
Kwa sasa hivi decoder yenu ndo decoder mtu anamudu kununua kwa bei ya chini.
Ila mnaweza mkafanikiwa sana ila mzingatie mambo yafuatayo muweze kuliteka soko hapa bongo;-
Anzisheni customer care wa...
Wanajamvi, habari za weekend.
Nimeikuta hii kwenye gazeti la serikali.
Kutokana na upeo wa uelewa wangu ningependa kujua yafuatayo:
Je, mpaka sasa tunayo rada ya kuongozea ndege na ina uwezo...
AHITIMISHA MGOGORO WA ARDHI, KUWAFUTA MACHOZI WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Kindoni Mhe Ally Hapi leo ametangaza msimamo wa serikali ya wilaya ya Kinondoni kuwa wananchi wa Kunduchi Mecco na mji...
AHITIMISHA MGOGORO WA ARDHI, KUWAFUTA MACHOZI WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Kindoni Mhe Ally Hapi leo ametangaza msimamo wa serikali ya wilaya ya Kinondoni kuwa wananchi wa Kunduchi Mecco na mji...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa ripoti ya wezi wa magari pamoja na vifaa vya magari na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, Lucas Mondya ikiwa ni miezi...
WATU watano wakiwemo watoto wawili wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani hapa hivi karibuni ambapo mganga wa jadi, Levocatus Kanjalanga (65) aliuawa kikatili kwa kuchomwa mkuki...
Heshima kwenu wana jamvi.
Usiku wa kuamkia leo 'nimeota' njozi ambayo imekifarakanisha kichwa changu mpaka muda huu........
Nimemuona mheshimiwa Lowasa akiwa kwenye halaiki ya watu, ni kama...
Wakuu ningependa kujua zaidi juu ya tips and tricks za iPhone ili kuweza kutumia vizuri simu
Mfano. Unaweza kudownload app ya level then ukatumia simu yako Kama pimamaji (spirit level)
Au ukatumia...
wadau nimesikia hii simu ni ngumu ku hack kuanzia IOS 8.0 na kuendelea hivi hizi taarifa zina uhakika? mwenye uelewa kuhusu iphone naomba unijuze zaidi....!
Kwa mfano ITV wanaweza kuja kuchukua habari yangu, lakini wana haki ya kuitangaza au kutokuitangaza na siwezi kuwalazimisha waitangaze. Hiyo ni haki yao kuitangaza au kuitupilia mbali kama...
Habari zenu wakuu
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na visa vingi sana vya ubakaji na watuhumiwa wakubwa wamekuwa ni wajomba .Naomba mnisaidie uhusiano uliopo kati ya watu hawa na ubakaji kwa...
Ndugu wanajamvi Mimi natoa msaada wa kukupa timu mbili za mpira zenye jumla ya odd 2 ambazo ni lazima zinashinda.
Ndugu zangu ukitaka huduma hio kwa siku ya kwanza nakutumia bule na siku...
Kuna watu naweza kusema ni wapiga hela tu hasa hasa facebook wamekuwa na mtindo wa kufungua pages tofautitofauti wakishawishi watu wapakue application yao inaitwa Telebox na nilishasikia kuna watu...