Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani kwa anaejua kudownload magemu kwenye kompyuta hasa ya mpira wa miguu!!! Matusi mwiko Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Watu wengi sana wamejiajiri kwenye biashara ya boda boda wapo wamiliki na wapo waendeshaji. Swali langu linaenda kwa hawa wamiliki wa hizi boda boda na wataalamu wa sheria, swali lipo hivi, umempa...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia mahubiri ya Manabii lakini kila wakihubiri wanatanguliza pesa ya kutoa sadaka au ujenzi wa Makanisa yao. Mfano pale Mwanza mwezi mmoja uliopita kuna Mhubiri alikuwa na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Huu msemo umekuwa maarufu sana. Unaelezea jibu safi na mwanana kwa mtu kizabizabina anaependa kuongelea mambo ya watu ila wengi hawaupendi haswa wale wanaooneka wameelimika. Natarajia kuona povu...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Tunajua fika wiki hii kuna uzinduzi wa uienzi wa bomba la mafuta toka uganda mpaka Tanzania huku sehemu kubwa ya bomba hilo iko Tanzania Tupeane maarifa na tujuzane juu ya fursa za kazi na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku...
57 Reactions
93 Replies
10K Views
Azam News walifika nyumbani kwa wazazi wa mtoto huyo na baba wa mtoto huyo akaiomba serikali imsaidie kwa hali na mali na kuelezea alivyoshangazwa na mashehe kufanya suala hilo Binti huyo...
2 Reactions
50 Replies
9K Views
Mara zote nimekua nikishuhudia kupitia luninga maandalizi ya ujio wa viongozi wakuu wa nchi ama marais mbalimbali duniani wakitandikiwa na kupita juu ya zulia jekundu je nani mbunifu wa hayo...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Jeshi la polisi Mkoani Rukwa limekamata maboksi mawili yenye vito vinavyosadikiwa kuwa ni vya thamani pamoja na mchanga mweusi kutoka kwa raia wa nchi ya jirani ya Kongo kwa kisingizio cha kuleta...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Mikakati na utendaji wa Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kuhusu kuboresha mazingira ya utoaji Elimu kwa Mkoa wa Dar es salaam ni muhimu sana kufahamika kupitia vyombo vya habari. Hongera sana Magic FM...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Uzi huu uwafikie wakuu wa bank ya mwalimu na wafanyakazi wake hasa wanaohusika na mikopo Hizo fedha mnazikopesha hamgawi bure sasa iweje MTU afuatilie mkopo zaidi ya miezi 2 na mlijipambambanua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi, Usishangae, ni ukweli kuwa unaekaa nae pengine mkeo, ama ni mmeo, ama jirani yako, ama mfanyakazi mwenzio ama mwanafunzi mwenzio ama muumini mwenzio ni jini. Kwanini? Hii...
18 Reactions
112 Replies
17K Views
Kuna mtu hapa anaabudu kanisani kwa huyu Nabii Suguye?
0 Reactions
11 Replies
23K Views
Wakuu hii dhana ya Tanzania factor au effect kwa nini isitumike hapa bongo ili tuwe tunashinda games zetu? The Tanzania Effect Seattle Sportsnet The Tanzania Effect I don’t know much about...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mhegera anatuhumiwa kufanya tukio hilo Julai 23 kwa kumpiga risasi baba mkwe wake, Adrian Mpande kwa hisia kuwa ndiye chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake miaka 10 iliyopita. Taarifa zaidi...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Toka mradi uanze kazi mwaka na miezi kadhaa Sasa kituo cha mabasi cha Kimara Baruti hakijawai kupandisha Abiria mpaka leo. Ni lini mtaweka scanner machine za tiketi ili abiria tutumie kusafiri...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna watu 4. tuwaite A, B, C na D. wamefukiwa chini ya ardhi kasoro vichwa vyao tu. wakafunikwa macho kisha wakavishwa kofia ( za rangi nyeupe na wengine rangi nyeusi). A na B wametenganishwa na...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Jambo moja hunishughulisha kidogo kila mara nitumiapo vivuko. Sheria inataka magari yote kushusha abiria ili abaki mvusha gari pekee, yaani dereva. 'Hii ni kwa ajili ya usalama wako' hayo ni...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau.. Kwa yoyote mwenye mwongozo toka Wizara ya ujenzi mawasiliano na uchunguzi kuhusiana na kutumia National Datacenter au EGA kwa ajili ya disaster recovery au relocation services...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf naomba mwenye kujua kifaa kinachotumiwa kupima speed ya magari traffic hutumia jina la kifaa hicho kwa lugha ya kiswahili na yakiingereza naomba kujua tafadhali Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…