Ni jana tu nilivyoongeza salio langu la Airtel money ili ninunue umeme (luku)..
So nikafanya muhamala wangu vizuri then nikatumiwa ujumbe ya kwamba muhamala wangu unashughulikiwa na fedha...
Hata angegombea Dr Slaa Uraisi wala asingeshinda hata wabunge wasingekuwa wengi. Siasa za Tanzania ni ngumu kuliko maisha na majadiliano kwenye jamii forum. Ukitaka kuijua Tanzania nenda kwenye...
Narejea kwako Sam Mahela na mbwembwe zako eti Agasti Nane hatuna neno Agasti tuna Agosti nimeshawasikia waandishi wengi wa runinga na redio mnakosea kuutamka huu mwezi...Sam nimemrejea tu kama...
Mwanasheria wa mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Shukuru Khalifa alisema mteja wake alikamatwa mchana alipokuwa akiandaa banda hilo.
Mwanamke aliyeangua kilio mbele ya Rais John...
Habari ya jioni wana JF.Natumaini weekend inaenda vizuri japo maisha yamekua hayana formula.Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kampuni ya platinum investment .nawasilisha
Sent using Jamii Forums...
August 4 2017 Upande wa serikali umewasilisha pingamizi la awali Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga maombi ya dhamana ya mfanyabiashara Yusuf Manji. Pingamizi hilo limewasilishwa leo na wakili wa...
Habari wana jf, nataka kujua ni kweli kwamba kuna waganga wa jadi wanaotoa utajiri au ni maneno tu?. Maana kumekuwa na utitiri wa mabango barabarani kuhusu matangazo ya waganga hao
Sent using...
Leo Katika kupitia vigezo na masharti vya kuapply Mikopo ya elimu ya juu nikakutana na kipengere kinachosema, nanukuu; "Applicants whose their parents are leaders listed in public leadership code...
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi...
Kwanza niharakishe kuandika kuwa mimi ni mfuasi wa Tundu Lissu, kuanzia jioni hadi asubuhi, siku saba za wiki. Lakini pili, kama mwanachama wa kawaida wa CDM, Lissu ni kiongozi wangu. Na ieleweke...
Dar es Salaam. Kuna vilio vingi vya kupoteza mali kutokana na bomoabomoa inayoendelea kupisha ujenzi wa barabara ya Morogoro, lakini sikia cha cha familia hii. Hivi sasa familia hiyo iliyowekeza...
Magari ya mizigo aina ya Fusso yaliyorekebishwa body yanabeba mzigo unaozidi tani 10 katika barabara zenye katazo linalozidi tani 7 hapa Arusha.
Hii ni kwa hoja kwamba yakiingia kutoka Japan...
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA sasa imesogeza huduma karubu zaidi na wateja kwa kutengeneza kurasa ya kielectroniki itakayo msaidia mteja kujua gharama ya kodi kwa Gari anayo agiza kulingana na...
Viongozi wengi wanaugua ugonjwa wa akili ujulikanao kama 'Narcissistic personality disorder'.
Dalili mojawapo za gonjwa hili ni kuwa mtu wa kujisifu na kujivuna (self centered and egoistic)...
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la abdalla rashidi abdalla mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa kineng'ene amefariki dunia huku mwingine akijeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la machole kwa binti...