Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Afya amepiga STOP kabisa wagonjwa wa moyo kupelekwa nje ya nchi kwa gharama za Serikali kwasababu tuna Taasisi ya moyo nchini ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili. Na kama ikitokea mgonjwa...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
SOURCE: Alasiri [Accessed 2008-08-11 19:25:26] Mhadhiri wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine, SUA, Dk. Damian Gabagambi amedai kuwa marufuku ya kuwazuia wakulima kuuza mazao yao ndani na nje ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika siku hizi za karibuni tumeshuhudia trends ambazo ziko disturbing sana.Kwamba sasa sekta za huduma kama elimu ndizo zinazotengewa fedha nyingi zaidi na serikali kuliko sekta za uzalishaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
3K Views
SIMU KUTOKA TIGO ngrrriiiiiii!!!!!!!!! NGriiiiIIIIII! TIGO; mimi ni -----naongea kutoka Tigo tunaongea na? MIMI; nakusikiliza TIGO;umewahi kutumiwa ujumbe wowote juu ya TIGO BIMA...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii operation ya kukamata wauza spare imekuja baada ya magari zaidi ya 10 yaliyokua kwenye msiba wa mke wa Mh Mwakyembe kuibwa vifaa vya ndani, jambo lililopelekea kukamatwa kwa wauza spare used...
26 Reactions
95 Replies
10K Views
Awali napenda kuishukuru serikali kwa kuweka wapelelezi wao kwenye maduka kariakoo. ili kuwabaini watu wasiotoa risiti za EFD. Na wale wanao ondoka bila risiti baada ya kununua bidhaa zao hili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakumbuka mwaka wa jana na kawaida ya miaka yote, miezi kama hii nchi huwa inatikiswa na burudani kubwa ya sanaa ya muziki maarufu kama Fiesta Naona mwaka huu kimya kabisa, wala siwasikii kabisa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nianze kwa Kukupongeza sana na mno kwa hatua au kitendo cha Kishujaa kama siyo cha Kiungwana ulichokifanya leo kwa kuwapatanisha Vijana waliokuwa wana Uadui / Bifu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Mkazi wa Kimara asema tangu nyumba yake iwekwe X ameugua shinikizo la damu na kama wataibomoa hatotoka ndani ili wamfukie humo My take: Jukumu la kwanza la serikali kwa mujibu wa Katiba ni ustawi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada wenu, kuna kesi tuliifungua mahakamani juu ya jamaa mmoja mwenye heshima zake na familia, ambaye huko nyuma tulipatana nae kutusaidia kutukopesha kiasi cha milioni 2 ili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
pamoja na kazi kubwa waliyonayo ya kulinda RAIA na Mali zao lakini kuna jambo ambalo najiuliza mpaka kesho...!! Iko hivi Mnamo mwaka 2014 nikiwa chuo mkoani Mwanza, kijana niliyemwajiri kunifanyia...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
MAKE IT (PAN AFRICANISM) SEXIE Make it of light complexion and of less complication, Make it simple, attractive, precise Make it sexy... Tena, have it end with an 'ie' instead, As the 'y' doesn't...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Kupima haja ndogo si tatizo hata siku moja, tunapima sana, watu wanapima daily.... Hata kwenye ushirikina walozi hawachukui kila haja ndogo ni lazima wapime (kwa vipimo vyao) ipi inafaa na ipi...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kutoka kwenye group moja la whatsapp.. liliandikwa sikitiko kubwa bila marafiki na ndugu kuwa na uwezo wa kubadili kilichotokea JANA GEREZANI.. la ndugu wa walio magereza kwenda kuona ndugu zao na...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni kwa mujibu wa mmoja ya vichwa vya habari gazeti NIPASHE la Leo.
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Mimi nina kibiashara changu cha nyumba ya kulala wageni maeneo ya Kigamboni, nimesajiri na ninalipa Kodi TRA kama kawaida, tumekuwa tukilipa Manispaa ushuru wa nyumba za Kuala wageni(Hotel Levy)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanini kuomba ya kudahiliwa CHUONI iwe Tsh.10,000/= halafu kuomba MKOPO katika Bodi ya Mikopo iwe Tsh. 30,000/=? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Ushauri wenu wakubwa juu ya hizi faculty kama zipo poa Applied zoology na botanical science Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
586 Views
1. Wachawi wanakamatwa na mgambo. 2. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu. 3. Jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia anatizama usalama kwanza. 4. Risasi inachukua dakika...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…