Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa hakika Tanzania tumejaa Malofa na Wapumbavu..... !! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
653 Views
hadi 2008 asilimia mbili ya wamarekani walikuwa ni wakulima lakni wanalima na kulisha sio tu marekani bali wanalisha hadi kutoa msaada nchi masikini. ni kweli hatuwezi kujilinganisha na mabeberu...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Wakuu nimekutana na habari hii kutoka gazeti la The citizen kuhusu maabara ya kisasa iliyogharimu zaidi ya Tsh 2 Billion kwa ufadhili kutoka Uturuki lakini cha kusikitisha inamiaka karibu miwili...
10 Reactions
43 Replies
6K Views
Wana JF mwaka umekaribia kumalizika Hivyo naleta hii mada kwenu kuona ni mada gani imekugusa kwa mwaka 2007 ili kuweza kuandika walau report ya chapter 10 ya topic zilizogusa wengi Mwaka huu. Mimi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani. JESHI la Polisi Mkoani Pwani, linamshikilia mfanyabiashara, Rajabu Hitaji (30) mkazi wa Vigwaza, Bagamoyo anaedaiwa kuwasafirisha wahamiaji haramu 72 raia kutoka nchini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Operesheni ya kukabiliana na uzalishaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya inayoendelea katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imewezesha kukamatwa kwa Magunia zaidi ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Alibaki mwenye mshangao huku machozi ya uchungu yakimbubujika kutokana na kutotarajia kama atajifungua watoto wanne, ikiwa ni ongezeko la wawili kati ya aliokuwa akiwatarajia. Matarajio yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vip, mimi ni mtanzania nipo hapa cordoba city,argentina south america nawatafuta wana afrika mashariki both kenyans,ugandan and tanzanians tuonane ,to know each other , ni mwaka watatu...
13 Reactions
86 Replies
9K Views
Imenibidi nielezee masimago tunayopata/niliyopata katika kipindi chote ambacho nimekuwa na sijawahi kuonja pombe. Mwanzoni nilifikili hii tabia ya kudharauliwa kwa sababu ya kutotumia pombe iko...
16 Reactions
244 Replies
17K Views
habari wadau.. kwa kweli hela imekuwa ngumu sana watu wanauza vitu kwa bei ya kawaida sana ila hela tu ya kununulia unajikuta huna.. jana nilikuwa chanika viwanja bei nzuri sana nikikumbuka...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mateso ni makubwa. Tunateswa makusudi upande wa kutoa leseni za udereva. Tangu asubuhi ni watu 2 wamepewa leseni tena wanawake. Vishoka nao ni wengi wanaingilia utaratibu. Tafadhali wahusika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwalimu wa fani ya elektroniki kutoka Mamlaka ya elimu na mafunzi ya ufundi (Veta) kituo cha Kipawa jijini dar es Salaam, Aneth Mganga, amegundua teknolojia mpya ambayo itakuwa mwarobaini...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu naomba kufahamu ile amri iliyotolewa na polisi ilikuwa ni matakwa ya sheria au mapenzi binafsi na utashi wa aliyetoa ile amri? Kama ni kisheria kwann imetenguliwa? Kama ni utashi wa...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Habarini wanajamvi, Watu wengi tumekuwa tukiishi kwa mazoea bila ya kuwa na udadisi kwa vitu tunavyofanya au hata kusema kila siku, yapo maswali mengi amabyo mtu anaweza kujiuliza kwa mfano: nini...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umewataka wasafirishaji na wauzaji wa mkaa nchini, kuhakikisha ujazo wa mkaa hauzidi kilo 50 ili kuepuka adhabu inayotokana na kukiuka Sheria ya Vipimo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu za mikoa mbali mbali nimegundua lile zoezi la kutokomeza viroba limefanikiwa ila bado vijana wanalewa tu mida ya kazi kumbe wale wauza viroba wamegundua mbinu mpya siku...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
watumiaji wa redmi tukutane kijiwe hiki na maujanja ujanja ya kichina
2 Reactions
1 Replies
518 Views
WATU wasiojulikana katika Uwanja wa Maonyesho ya Wakulima na Wafugaji wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mkoani Morogoro, wameiba ng’ombe wa maonyesho katika banda la Wilaya ya Temeke na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kijana mmoja amekamatwa maeneo ya Mpakani-Mlalakuwa akichangisha rambirambi kuwa kafiwa na mdogo wake wa miaka miwili. Kijana huyo ameonekana si mwenyeji wa maeneo hayo na alipobanwa kueleza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…