Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Unampigia mtu simu unaanza kusikia
Uislam unasema mtu akishakula mlo wa jioni atembee kidogo kabla ya kwenda kulala... Halafu unasikia mtume saw anahimiza kulalia upande wa kulia na si wa kushoto kwani moyo uko upande huo...
My concern is, kwani hakuna tafiti za kisayansi zinazozungumzia hayo? Huyo mtume ana hatimiliki ya huo utafiti wake? Kwani uislam pekee ndio unajjua huu ukweli kuwa ukishakula usilale muda huo huo? Tusitiane majaribuni kwa mambo ambayo hayahitaji propaganda kuyaelewa