Hivi kwanini watu wanaotokea Mkoa wa Mara hawapendi kuendeshwa kama gari bovu?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Wadau kwa sasa nipo mkoa wa Mara moja kati ya maeneo niliotembelea ni Tarime, Musoma, Roryaa, Serengeti.

Nilichokigundua baada ya kukaa huku hawa watu ni watu wasiopenda dharau, ni watu wanaojiamini na wasiopenda kupelekeshwa kama gari bovuu.

Kama wenyewe wanavyosema hatupendi kupelekeshwa kama gali mbovuuu.
 
Wadau kwa sasa nipo mkoa wa Mara moja kati ya maeneo niliotembelea ni tarime , musoma , roryaa, Serengeti .

Nilichokigundua baada ya kukaa huku hawa watu ni watu wasiopenda dharau, ni watu wanaojiamini na wasiopenda kupelekeshwa kama gali bovuu.

Kama wenyewe wanavyosema hatupendi kupelekeshwa kama gali mbovuuu
Sasa wewe si ndio upo nao huko na ndio wamekwambia kua hawapendi kuendeshwa kama gari bovu?

Kwanini usiwaulize wao wenyewe huko huko ili wakupe jibu moja tu kuliko kuja huku JF ambapo kila mmoja atakujibu kwa jibu lake mwisho ushindwe kabisa kujua kua lipi hasa ndio jibu sahihi?
 
Wadau kwa sasa nipo mkoa wa Mara moja kati ya maeneo niliotembelea ni tarime , musoma , roryaa, Serengeti .

Nilichokigundua baada ya kukaa huku hawa watu ni watu wasiopenda dharau, ni watu wanaojiamini na wasiopenda kupelekeshwa kama gali bovuu.

Kama wenyewe wanavyosema hatupendi kupelekeshwa kama gali mbovuuu
Wewe je unapenda kupelekeshwa kama gari bovu?
 
Wadau kwa sasa nipo mkoa wa Mara moja kati ya maeneo niliotembelea ni Tarime, Musoma, Roryaa, Serengeti.

Nilichokigundua baada ya kukaa huku hawa watu ni watu wasiopenda dharau, ni watu wanaojiamini na wasiopenda kupelekeshwa kama gari bovuu.

Kama wenyewe wanavyosema hatupendi kupelekeshwa kama gali mbovuuu.
Kwasababu wao ni MABINGWA WA KUDEKI BARABARA NA LAMI.

- Jiandaeni kudeki barabara mura, mamvi na mbowe wana "SIARA" huko
 
Kuna wilaya mbili hapo mkulu hakutia mguu kwenye kampeni walimwambia kama umechoka kuishi njoo hadi Leo hajaja

Sent using Iphone 7+
 
Ninachowadharau ni ile tabia ya kutumia nguvu kuliko akili unakuta wamepishana kauli kidogo tu na mwenzie unashangaa mtu anaenda kwake anarudi na SIME AU MKUKI yaani hapo ndiyo huwa nachoka na ugomvi kama huo huwa ni wao kwa wao utasikia tu NYAMBOTO ujue kinachofuata ni ugomvi
Busara ndogo sana kwao sometimes.
 
Mimi binafsi huwa natafsiri tabia yoyote inayoendana na 'ubabe' na kuwa na hasira za haraka au kuchukua maamuzi kwa pupa kama mtu ambae hajakuwa kikamilifu ktk ufahamu nina penda mtu anaejiamini ktk 'mind'kuliko kutumia nguvu za mwili
 
Back
Top Bottom