Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ndugu zangu wa Jf. Nimekuwa nikipata tatizo la umeme kukatika ghafla wakati unit zipo na niliwahi kuripoti TANESCO nikapewa namba fulani na umeme ukarudi. Ila nimejaribu wasiliana nao leo...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Kaya zaidi ya 200 zilizopo eneo la Kimara Stop Over na Mbezi Kibanda cha Mkaa jijini Dar es Saalam ziko gizani baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuzikatia umeme ikiwa ni agizo la...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
habari wadau.. mimi mjasiriamali nina nia ya kupanga fremu ya biashara pale mabibo hostel.. nimeenda utawala pale udsm kuonana.na wahusika wanipe maelekezo jinsi ya kupanga fremu nayotaka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Za leo. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nimejalibu kufuatilia kwa ukalibu zaidi lakini nimeshindwa. Laiti kingekuwa na ISBN namba na na namba ya sim au barua pepe ingekuwa rahisi. Nilikua...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa(TALGWU)kimesema hatua ya Serikali ya kutafuta wafanyakazi hewa, wenye vyeti vya kughushi na wenye elimu ya darasa la saba, ilikitikisa chama hicho na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Makonda" kwa madaraka yake kama mkuu wa mkoa (cheo kilichopitwa na wakati na ambacho tumekikataa kwa mujibu wa Tume ya Warioba) ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. Kama hivyo ndivyo...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Wadau naomba kujuzwa hizi karanga pendwa za Diamond ni mali ya nani? Smart Industries nembo yao ndio iko pale juu lakini Diamond anazipa promo zaidi, anatokea kwenye ads na watu wengi wanampa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Yule askofu aliyesema ndugu Lowassa asiposhinda urais 2015 basi tumuue kwa maana anauhakika na unabii wake... amefariki. R. I. P Pastor.
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Dar es Salaam. Wizara ya Fedha na Mipango imeandaa kanuni za taarifa za usafirishaji na uingizaji wa fedha taslimu kutoka na kwenda nje ya nchi ambapo wasafirishaji wa fedha taslimu na wasafiri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
. Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet). Ni ndege ya kisasa na ya kifahari iliyobuniwa nchini Marekani yenye uwezo wa kubeba abiria 8 hadi 10. Ina speed hadi...
44 Reactions
333 Replies
60K Views
Naomba kuuliza kama bado ile calculator ya TRA ya kukukokotoa kodi ya magari yaliyotumika kutoka nje kama bado inatumika. Nauliza kwa sababu kuna mtu kakadiria kodi ya gari akawa amejiandaa vema...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Juzi tarehe 12/06/2016 nimeona kichwa cha habari katika gazeti la mtanzania kuwa PPF wameshitushwa na habari za fao la kujitoa.Mwenye habari kamili kuhusu hii issue maana ni juzi juzi nimetazama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sina haja ya kuweka picha. Zitafute kwa muda wako. Mh. Rais alikuwa ana mzuzu ambao kwa mujibu wa umri ulikuwa umeshaanza kuchafuka mvi. Kwa siku za karibuni namuona mkuu anang'aa kidevu kikiwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Agizo la Aprili 15 lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alipoitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) iachane na utaratibu wa sasa wa kuwapangia wanafunzi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za asubuhI wana jamiiforum,bila kupoteza muda ni kwamba kuna kitu nataka nifuatilie mkoa Lindi hvyo nina hitaji mtu ambaye anaishi Lindi mjini au kufanya kazi halmashauri ya Lindi mjini...
0 Reactions
8 Replies
778 Views
Nazungumzia madaktari wenye degree ya udaktari MD not clinical officers Taaluma ya udaktari ndio taaluma yenye heshima na yenye kusifika dunian. Bila shaka kila mmoja wenu alishawai kua na ndoto...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
A NIGERIAN man trying to avoid paying doctor's fee after an eye operation says, "I still can't see." The doctor then asks a sexy nurse to undress in front of him. He again says "I can't see"...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mkazi wa Kimara Stop Over, Dar es Salaam, Nicomed Leo akiwa nje ya nyumba yake aliyosema ina thamani ya Sh900 iliyowekewa alama ya X kwa ajili ya kubomolewa ili kupisha utanuzi wa Barabara ya...
3 Reactions
153 Replies
16K Views
Habari zenu wandugu. Katika taaluma ambazo hazihitaji uwe na akili sana kuzisomea ni uandishi wa habari. Hata uwe na divisheni sifuri bado ukitaka unaweza kua mwandishi wa habari/mtangazaji...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…