Ukweli wa Suala la Makonda na Clouds Huu Hapa

Ukweli wa Suala la Makonda na Clouds Huu Hapa

Wateule

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
390
Reaction score
368
Makonda" kwa madaraka yake kama mkuu wa mkoa (cheo kilichopitwa na wakati na ambacho tumekikataa kwa mujibu wa Tume ya Warioba) ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. Kama hivyo ndivyo basi, kesi na tuhuma zake ni kesi dhidi ya jeshi la polisi (na video za CCTV zinaonyesha pia alivamia Clouds na polisi). Kwa maana hiyo, polisi kama watuhumiwa (wao na boss wao Makonda) hawawezi kujichunguza na kujifungulia mashtaka wenyewe.

Uchunguzi ulitakiwa ufanywe na tume huru, muelekeo ambao Nape alianza kuuchua kabla ya kufukuzwa na mkuu.

Tume hiyo ndio ingeendelea na mchakato wa kesi mpaka tuhuma zifikishwe mahakamani na kuamuliwa. Lakini, kwakuwa "Makonda" na anayemlinda wanajifanya wapo juu ya sheria, hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Na polisi (wakiongozwa na Sirro) wanaogopa kufanywa kamaalivyofanywa Nape.
 
Makonda" kwa madaraka yake kama mkuu wa mkoa (cheo kilichopitwa na wakati na ambacho tumekikataa kwa mujibu wa Tume ya Warioba) ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. Kama hivyo ndivyo basi, kesi na tuhuma zake ni kesi dhidi ya jeshi la polisi (na video za CCTV zinaonyesha pia alivamia Clouds na polisi). Kwa maana hiyo, polisi kama watuhumiwa (wao na boss wao Makonda) hawawezi kujichunguza na kujifungulia mashtaka wenyewe. Uchunguzi ulitakiwa ufanywe na tume huru, muelekeo ambao Nape alianza kuuchua kabla ya kufukuzwa na mkuu. Tume hiyo ndio ingeendelea na mchakato wa kesi mpaka tuhuma zifikishwe mahakamani na kuamuliwa. Lakini, kwakuwa "Makonda" na anayemlinda wanajifanya wapo juu ya sheria, hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Na polisi (wakiongozwa na Sirro) wanaogopa kufanywa kamaalivyofanywa Nape.
Kiburi jeuri na dharau za watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza ndio malipo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda" kwa madaraka yake kama mkuu wa mkoa (cheo kilichopitwa na wakati na ambacho tumekikataa kwa mujibu wa Tume ya Warioba) ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. Kama hivyo ndivyo basi, kesi na tuhuma zake ni kesi dhidi ya jeshi la polisi (na video za CCTV zinaonyesha pia alivamia Clouds na polisi). Kwa maana hiyo, polisi kama watuhumiwa (wao na boss wao Makonda) hawawezi kujichunguza na kujifungulia mashtaka wenyewe.

Uchunguzi ulitakiwa ufanywe na tume huru, muelekeo ambao Nape alianza kuuchua kabla ya kufukuzwa na mkuu.

Tume hiyo ndio ingeendelea na mchakato wa kesi mpaka tuhuma zifikishwe mahakamani na kuamuliwa. Lakini, kwakuwa "Makonda" na anayemlinda wanajifanya wapo juu ya sheria, hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Na polisi (wakiongozwa na Sirro) wanaogopa kufanywa kamaalivyofanywa Nape.

Subiria matusi baada ya muda toka kwa wafuasi wake.
 
Hilo jibu pigia mstari .... Pigia mstari tena ...... VivaClouds

Don't put all egg on one Basket
 
Huu ndio ukweli au ni maoni yako binafsi uliyoyapachika jina la huu ndio ukweli!!!! pia unaweza kuonyesha kupitia hyo CCTV unayosema wamevamia je kunanguvu iliyotumika zaidi ya kuonekana watu wanaingia ndani na pia pale mapokezi kulikuwa na mtu ambae alionekana hana wasiwasi na ugeni unaoingia je ulishawai kuona uvamizi wa aina ile ambao uko soft kama ule au ulikuwa uvamizi toleo jipya ?
Makonda angeomba msamaha kwa ushahidi wa ile video ambao sijaona hata chembe ya kuita ni uvamizi video ambayo imekaa kama video zetu za bongo movie ningemuona Makonda anatatizo. Tuchukie au tupende vitu kwa sababu si kuchukia au kupenda kwa vile Mange kasema tumieni akili zenu katika maamuzi ya hisia zenu
 
Uchunguzi ulitakiwa ufanywe na tume huru, muelekeo ambao Nape alianza kuuchua kabla ya kufukuzwa na mkuu.

.
Nape alitaka kurusha Bomu Ikulu, ile anajiandaa kulirusha tu kilamripukia yeye mwenyewe, CCM hainaga shukrani kwa kweli, yaani kazi yote ile kuzunguka mikoani imekwenda buree!! khaa!!!
 
Huu ndio ukweli au ni maoni yako binafsi uliyoyapachika jina la huu ndio ukweli!!!! pia unaweza kuonyesha kupitia hyo CCTV unayosema wamevamia? je kunanguvu iliyotumika zaidi ya kuonekana watu wanaingia ndani na pia pale mapokezi kulikuwa na mtu ambae alionekana hana wasiwasi na ugeni unaoingia? je ulishawai kuona uvamizi wa aina hile ambao uko soft namna hile?
Ndugu kukosea huku kwa spelling kunaonesha jinsi uwezo wako ulivyo.
Makondo kwa kitendo alichokifanya sioni kwa nini awe na wafuasi wenye kutetea suala lile kwa upande wake.

Makonda angeomba msamaha kwa ushahidi wa ile video ambao aina hata chembe ya kuita ni uvamizi video ambayo imekaa kama video zetu za bongo movie ningemuona Makonda anatatizo
Ukichaa umekuanza tena? Yesu wangu si ulishapona wewe?
 
Ndugu kukosea huku kwa spelling kunaonesha jinsi uwezo wako ulivyo.
Makondo kwa kitendo alichokifanya sioni kwa nini awe na wafuasi wenye kutetea suala lile kwa upande wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui unamzungumzia nani hapa kati ya Makonda au Makondo?
Bahati mbaya sana Watanganyika mnapenda na kuchukia vitu au watu kwa kufata mkumbo tu lakini ukiulizwa kwa nn unapenda au kuchukia sababu mnazotoa znaonyesha ni namna gani wengi mnavyoshikiwa akili
 
Back
Top Bottom