Hongera kwa waliomshauri rais anyoe mzuzu

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
2,026
Reaction score
3,113
Sina haja ya kuweka picha. Zitafute kwa muda wako.

Mh. Rais alikuwa ana mzuzu ambao kwa mujibu wa umri ulikuwa umeshaanza kuchafuka mvi. Kwa siku za karibuni namuona mkuu anang'aa kidevu kikiwa swafi kabisa.

Tafiti pondo na matokeo mchundo:
- Hakujawahi kuwa na rais mwenye mzuzu lakini mustache wapo wengi.
- Ukiwa na kazi ya maana serikalini na jeshini mzuzu naona kama hauruhusiwi hivi. (sina hakika)
- Sasa amiri jeshi kuwa na mzuzu.

Hongera waliomshauri.
Sasa tupate presidential portrait akiwa hana mzuzu.
 
Sina haja ya kuweka picha. Zitafute kwa Muda wako

Mh. Rais alikuwa ana mzuzu ambao kwa mujibu wa umri ulikuwa umeshaanza kuchafuka mvi.... Kwa siku za karibuni namuona mkuu anang'aa kidevu kikiwa swafii kabisaa.

Tafiti pondo na matokeo mchundo:
- hakujawahi kuwa na rais mwenye mzuu.... Lakini mustache wapo Wengi.
- ukiwa na kazi ya maana serikalini na jeshini.... Mzuzu naona Kama hauruhusiwi hivi. (Sina hakika)
- sasa amiri jeshi kuwa na mzuzu......

Hongera waliomshauri....
Sasa tupate presidential portrait akiwa Hana mzuzu.
Joachim chissano
 
unamaanisha alikuwa anayoaga O. Sizonje kwa swaga tu hajambo
 
Ni maamuzi yake yeye mwenyewe...Personality ya mtu inatakiwa imufurahishe mwenyewe..kwahiyo kubadili muonekano wake mwezi huu na mwezi ujao akawa vingine ni sawa tu,ili mradi ufurahie huo muonekano..

Kagame kuna kipindi anakuwaga na ndevu O,kuna kipindi ananyoa...kabila kuna kipindi anaachia nywere na ndevu,kuna kipindi ananyoa kipara.
 
Sina haja ya kuweka picha. Zitafute kwa Muda wako

Mh. Rais alikuwa ana mzuzu ambao kwa mujibu wa umri ulikuwa umeshaanza kuchafuka mvi.... Kwa siku za karibuni namuona mkuu anang'aa kidevu kikiwa swafii kabisaa.

Tafiti pondo na matokeo mchundo:
- hakujawahi kuwa na rais mwenye mzuu.... Lakini mustache wapo Wengi.
- ukiwa na kazi ya maana serikalini na jeshini.... Mzuzu naona Kama hauruhusiwi hivi. (Sina hakika)
- sasa amiri jeshi kuwa na mzuzu......

Hongera waliomshauri....
Sasa tupate presidential portrait akiwa Hana mzuzu.
Thabo mbeki
 
Orthodox Church. MaaAskofu wao lazima ... Makarios, Ni ishara ya Ubaba au Fatherly Figure; Jomo Kenyatta, Koffi Anan, Joseph Kabila (DRC) Jerry Rawlings ; Abraham Lincoln (USA), Theodore (USA) etc
 
Ni maamuzi yake yeye mwenyewe...Personality ya mtu inatakiwa imufurahishe mwenyewe..kwahiyo kubadili muonekano wake mwezi huu na mwezi ujao akawa vingine ni sawa tu,ili mradi ufurahie huo muonekano..

Kagame kuna kipindi anakuwaga na ndevu O,kuna kipindi ananyoa...kabila kuna kipindi anaachia nywere na ndevu,kuna kipindi ananyoa kipara.
Ni kweli lakini unajua kuna vyeo vina desturi.... Angalia kuanzia awamu ya kwanza mpaka leo. Halaf Kama jeshini hairuhusiwi...sasa ukiwa amiri jeshi inakuwaje.
 
Mnaowataja viongozi wa nchi nyingine Sikuwa na maana hiyo..... Tuzungumzie muktadha wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom