Hongereni madaktari wote

Hongereni madaktari wote

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
514
Nazungumzia madaktari wenye degree ya udaktari MD not clinical officers

Taaluma ya udaktari ndio taaluma yenye heshima na yenye kusifika dunian.

Bila shaka kila mmoja wenu alishawai kua na ndoto za kuja kua daktari au wazazi wake walikua na ndoto hiyo juu yake au yeye mwenyewe anataman watoto wake waje kua madaktari ..

Hii sio tuu kutamani kua madaktari rahasha bali walitaman wawe na akili shulen kwani huwez kuja kua daktari kama huna akili darasani, ni 100% kua kila alie daktari basi anahistori ya kua namba moja au kua top three katika darasa either primary au secondary au chuo hakuna daktari ambae hajawai kua kichwa cha darasa...

Imshort huwez kua daktari kama ulikua low score baby never ,huwez kua daktari kama uliwai kuugua utapiamlo utotoni ...

Ata uwe professor wa sheria au uchumi ukikutana na daktari mwenye degree moja tuu ya MD lazima heshima iwepo

Popote mlipo madaktari agizeni vinywaji nakuja kulipia

NB: povu ruksa kwa wale ma- low score baby
Na wale mliowai kuugua utapiamlo...

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
 
Safi sana hakuna Dk kilaza bt ilikua wakati ule kwa sasa wapo vilaza sana yaani walilazimisha kupitia vichuo hivi vya private.
Kuna jamaa tulimaliza nao walipata PCB division 3 ya 15 wakaenda kusoma sijui foundation course pale CUHAS nasikia kwa sasa ni madaktari mie nilitoka na ka division kangu nikatemwa pale Muhimbili,nikaamua kuachana na udaktari maana niliona km naforce sana halafu kana kwamba hakuna career zingine.
Niliingia kubwa la maadua SUA,nikapiga FST yangu pale,ninapiga niko Ruaha napiga kilimo kiroho safi tu na kamshahara kazuri tu sehemu zingine za mishe zangu.
Kifupi napambana na hali yangu vzuri sana na kuna madaktari vilaza wako mtaani tu
 
Hahahaaa!we jamaa kama umekurupuka hivi!Mimi kuna jamaa namfahamu kabisa(kwa sasa ni dokta) asee huyu jamaa nlisoma shule ya msingi hakuwahi kuwepo hata kwny ishirini bora kwa kifupi alikuwa kilaza pamoja na kwamba pesa ipo,wakati wenzake tunafaulu kwenda Azaboy enzi zile kwakuwa kwao mpunga upo akapelekwa private sec school(hata sec yenyewe alopelekwa ni ya vilaza vile vile), jamaa akamaliza akaenda kusoma udaktari kwenye chuo cha vilaza na sasa hivi ni dokta kilaza, I dare to say that!Kwa hyo jamaa futa kauli yako,kuwa madaktari wote walikuwa wanakimbiza shule!!Waliokuwa vizuri tunawajua na vilaza tunawajua!

Sikiliza Toka Kwangu!
 
Hahaha! Mimi umenifurahisha ulivyosifia tu kwa maneno chonganishi.

Naamini ukimupata mwanamama mwenye sura nzito atajiona kama Priyanka Chopra.

Hongereni madaktari!!
 
Hahahaha we jamaa kwan Wewe hukuwai kutaman kua daktari??

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
 
Hahaha! Mimi umenifurahisha ulivyosifia tu kwa maneno chonganishi.

Naamini ukimupata mwanamama mwenye sura nzito atajiona kama Priyanka Chopra.

Hongereni madaktari!!
Hahahaha nafanya mazoez ya kusifia wamama

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
 
Ama kweli doctor ni mtu wa kuheshimu sana. Amebeba maisha yako, ndio maana doctor akikuambia meza dawa fulani unameza kwa imani moja na imani yako itakuponya. Eti utampa nani gari!! Padri anaenda kutoa huduma ya kiroho au doctor anayeenda kuokoa maisha ya mgonjwa? Kumbuka gari ni moja chagua kipau mbele. Nisingependa doctor akose usafiri wake wa uhakika ili aweze kufanya kazi ya kuokoa maisha, doctor ni kila kitu, nawapa tano Mungu awabariki awazidishie neema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa!we jamaa kama umekurupuka hivi!Mimi kuna jamaa namfahamu kabisa(kwa sasa ni dokta) asee huyu jamaa nlisoma shule ya msingi hakuwahi kuwepo hata kwny ishirini bora kwa kifupi alikuwa kilaza pamoja na kwamba pesa ipo,wakati wenzake tunafaulu kwenda Azaboy enzi zile kwakuwa kwao mpunga upo akapelekwa private sec school(hata sec yenyewe alopelekwa ni ya vilaza vile vile), jamaa akamaliza akaenda kusoma udaktari kwenye chuo cha vilaza na sasa hivi ni dokta kilaza, I dare to say that!Kwa hyo jamaa futa kauli yako,kuwa madaktari wote walikuwa wanakimbiza shule!!Waliokuwa vizuri tunawajua na vilaza tunawajua!

Sikiliza Toka Kwangu!
Chuo gani cha madaktari vilaza Mkuu!!! Taarifa

KIMEO CHANGU
 
Weeee jamaa umekariri sana maisha aisee, nawafahamu Wana kibaaaaao ambao walifeli form four wakaunga vyuo kama KAM college miaka mitatu wakapata diploma then wakaunga degree ya udaktari now ni madaktari nao walikua vichwa?! Weee jamaa bila shaka elimu haijakukomboa eti professor apige salut kwa degree moja ya MD?! Porojo tu hizi hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa za kijinga, kuwa kichwa darasani bila kuwa na fedha ni ujinga tu,madaktari wanakufa na njaa hawana kitu mifukoni wamebaki kua omba omba adi wanatia huruma.
 
Hahaha! Mimi umenifurahisha ulivyosifia tu kwa maneno chonganishi.

Naamini ukimupata mwanamama mwenye sura nzito atajiona kama Priyanka Chopra.

Hongereni madaktari!!

hahahaha eti Priyanka Chopra !lol!
 
Kuna best yangu ni MD four alipata division 4, form 6 alipata 3 ya mwisho PCB .Akasoma diploma, akaenda kile chuo kilichotupa makinikia ya binaadam kikaleta taharuki nchi nzima.
Na maana hakuwa mkali hata robo lkn ss hv anapasua watu pale nanihino.
 
Nazungumzia madaktari wenye degree ya udaktari MD not clinical officers

Taaluma ya udaktari ndio taaluma yenye heshima na yenye kusifika dunian.

Bila shaka kila mmoja wenu alishawai kua na ndoto za kuja kua daktari au wazazi wake walikua na ndoto hiyo juu yake au yeye mwenyewe anataman watoto wake waje kua madaktari ..

Hii sio tuu kutamani kua madaktari rahasha bali walitaman wawe na akili shulen kwani huwez kuja kua daktari kama huna akili darasani, ni 100% kua kila alie daktari basi anahistori ya kua namba moja au kua top three katika darasa either primary au secondary au chuo hakuna daktari ambae hajawai kua kichwa cha darasa...

Imshort huwez kua daktari kama ulikua low score baby never ,huwez kua daktari kama uliwai kuugua utapiamlo utotoni ...

Ata uwe professor wa sheria au uchumi ukikutana na daktari mwenye degree moja tuu ya MD lazima heshima iwepo

Popote mlipo madaktari agizeni vinywaji nakuja kulipia

NB: povu ruksa kwa wale ma- low score baby
Na wale mliowai kuugua utapiamlo...

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
Siku hizi jamii forum imejaa watoto wengi halafu kibaya zaidi hawataki kuwa wa kujifunza kutoka Kwa great thinkers ndio maana JF imekuwa ya kiwango cha chini sana kulinganisha na zamani. Eti huyu naye ni mwana JF!?! shame on you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madactari Wepi Unaowapongeza Ebu Eleza Vzr Ntakupima Mkojo Wew Inaonesha Unauchochezi Au Unataka Nikufanyie Oparation Ya Kichwa Kwa Huo Mguu Unaoumwa
 
ndo maana nimeshangaa men ajue hili jina! namfaham!

ujana wangu niliwah kutana na mwanaume eti nikamwambia naitwa priyanka chopra akaamini! akawa anasema una jina unique! we kabila gan! hahahahaha alikuwa kilazaaaa! akawa ananiita priyanka! tetetetetet Michael popote ulipo heheheheh!
 
Back
Top Bottom