TRA calculator ya used car bado VALID?

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Naomba kuuliza kama bado ile calculator ya TRA ya kukukokotoa kodi ya magari yaliyotumika kutoka nje kama bado inatumika. Nauliza kwa sababu kuna mtu kakadiria kodi ya gari akawa amejiandaa vema ila gari lilipofika TRA wakamwongezea milioni 4. Hatjajua kama TRA kwa nini walifanya vile au watuambie je walisha acha kuitumia ile calculator.
Naomba walioagiza magari karibuni mtujuze
 
Wakikujibu nifahamishe coz hii taasisi ya kodi nchin kwetu inatuchanganya sna
 
Huu mfumo ingekuwa bora ukiangalia makadirio waruhusu kuprint then wapige mhuri na sahihi ya afisa au meneja wa TRA sehemu niliyopo hiyo ndo makadirio hayo ndo nitumie hadi napata gari yangu, hata bandarini iwe ni kuonyesha tu hiyo document huku waki hakiki kwenye mtandao wao!
 
Nataka watuambie tu kama tukadirie kodi ya kuimport magari kwa kutumia hii calculator au wana njia nyingine ya kuangalia tu kwa macho tujue ili tuachane na hii calculator
 
Wenye kujua tujuzeni hili maana kuna watu magari yako melini isije ikawa kuna formula nyingine kweli.
 
Back
Top Bottom