Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 969
Za leo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nimejalibu kufuatilia kwa ukalibu zaidi lakini nimeshindwa. Laiti kingekuwa na ISBN namba na na namba ya sim au barua pepe ingekuwa rahisi. Nilikua na shida sana na mmiliki anaejua anisaidie. Kitabu kinaitwa (SOMA KWA HATUA) Chapa ya kwanza ilitoka kwama 1988.
Mfano wa page ya kwanza ni hii hapa
.