mps
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 406
- 584
Juzi tarehe 12/06/2016 nimeona kichwa cha habari katika gazeti la mtanzania kuwa PPF wameshitushwa na habari za fao la kujitoa.Mwenye habari kamili kuhusu hii issue maana ni juzi juzi nimetazama clip ya wanachama wa Ppf wakiambiwa mpaka wafikishe miaka 55.Hili suala limekaaje wadau sambamba na mifuko mingine ie:Nssf,Pspf,Gepf Lapf
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.