Wadau naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha kufundisha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma, jijini Dar au hata Kibaha. Kiwango changu cha elimu ni shahada.
Wanabodi.
Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).
Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake...
Ikiwa leo ndio siku ya mwisho ya maonyesho haya ukifika utapata faida zifuatazo:
1.Kuziona mashine mbalimbali za kilimo
2.Kupata elimu ya kilimo na teknolojia mpya
3.Kuona wanyama mbalimbali wa...
Wana JF.
Kiongozi yoyote ni kioo cha jamii, hivi kwa nini hawa viongozi wetu wa Chadema hawajafunga ndoa, sio kama tunaingilia mambo binafsi ya mtu hapana lazima mbele ya jamii waonekane watu...
Jana anasema mjenge kwa kufuata taratibu na sheria vinginevyo nyumba zenu zitabomolewa tena bila fidia. kesho mkiona vibali vinachelewa anzeni kujenga {unajengaje kabla ya kibali cha kujenga) si...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo amemtembelea Rais wa Iran Hassan Rouhani Ikulu nchini Iran na kufanya mazungumzo.
Rais wa Iran aliapishwa jana ambapo Spika...
Wengi mlijiuliza walionteka ni maaskari?
Mkanitafuta vituo vyote central hadi stakishari
Wakasema… hawajui nilipo mama alienda hadi mochwari
Dah.....
Ya Kaisari mwachie Kaisari
Machozi yenu...
Uhuru Kenyatta, jana usiku alitangazwa kuwa Rais wa Kenya akimshinda mpinzani wake Raila Odinga katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumanne iliyopita.
Mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi, Waziri...
Gari la mchanga limeigonga coaster kwa nyuma na kupindu hapohapo hilo roll la mchanga
Kisa ni fuleni defi sana kutoka mbagara ranging 3 mpaka Kongowe] mzinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Je unataka kutuma mzigo toka au kuulizia bei ya vitu mbali mbali kutoka Zanzibar, au unataka kuleta mzigo toka bara uje Zanzibar na hauna mtu mwaminifu wa kukupokelea? Basi kijana wako, ndugu yako...
Nauli iliyopitishwa na SUMATRA kutoka mbezi Luis hadi mjini ni Tshs 800.
Lakini tozo hii ya nauli siyo inayotozwa kwenye mabasi ya mwendokasi kwa wale abiria wasio kuwa na kadi, badala yake...
Kwa kweli voda msipo chukua hatua Kwa voda shop yenu ya Musoma mjini mtakimbiza wateja maana hawana msaada Kwa wateja kuanzia Meneja wa kituo anamajibu mabovu sana na huduma ni mbovu maana hata...
Redio nyingi Tanzania kwa sasa zina vipindi naweza kudiriki kuviita vya hovyo kwa sababu havijengi kizazi hiki,kuanzia asubuhi ni stori zisizo na maana tena za mambo ya chumbani, ukungwi...
Wakuu,
Kuna ndugu yangu yupo mkoa, Mara nyingi huwa ananiomba ela na ananililia shida kweli kweli na mimi huwa najitaidi kumtimizia.
Cha kushangaza kila nikimtumia pesa kwenye tigopesa huwa...
Ni jambo la kushangaza sana kama Nacte wanaweza kutoa namba zao simu kwaajili ya kuwasaidia wateja lakini hataki kupokea simu. Najiuliza nini tafsiri ya kutoa namba hizo?.
Inakulazimu unapopata...
Ni hudhuni, masikitiko na furaha hapa jijini mwanza baada ya mzee maarufu na tajiri hapa mjini mzee Shinyanga kufariki jana usiku katika ajali ya moto akiwa katika makazi yake pale shinyanga guest...
Changamoto hupendeza maisha,na kukabiliana nazo ndio maana halisi ya maisha.
Matatizo unayoyapata kila siku na mbinu unazotumia kutafuta suluhuisho ndio maisha yako. Hivi basi inafaa uwe na...