Pamoja na kanuni zote zilizopo ndani ya JF na ban kwa baadhi ya members lakini bado tabia ya kuandika matusi inaendelea kushamiri ndani ya JF.
Na siku hizi baada ya kuona Kuna maneno mods walisha...
Sina tatizo kabisa na kitendo cha askari polisi kuuwa washukiwa uhalifu. Ila najiuliza itakuwaje ikitokea askari polisi kuua asiye husika na uharifu? ama kwa makosa, ama kwa kumsingizia kwa...
Rais wa TFF ndiyo huyo aliyekuwa makamu wa Rais awamu iliyopita.
Je ndiyo matarajio ya wapenzi wa Mpira nchini au?
Nini maoni yako kwa uongozi mpya chini ya Rais W.Karia na Makamu Wambura!!
Mzuqa wanaJamvi!
Siyo big deal kivile ila am relieved.
Eventually these dudes (D Immigration) have granted me permanent residence. Ningeipata long time tu ila niliharibu kidogo kipindi cha...
Nasikia eti huyu tajiri namba moja kamwaga miela zaidi ya shilling billion 700 sasa hapo ndipo kwenye point tafadharini niko chini ya miguu yenu muifiche hii siri kuwa sisi tukipiwe hela tunalamba...
TOFAUTI KATI YA URU WA UKALDAYO NA URU WA UCHAGANI
Kisha akamwambia, Mimi ni Bwana, niliyekuleta kutoka Uru wa Wakaldayo nikupe nchi hii ili uirithi.
Mwanzo 15 : 7
Najua na ninafahamu kila jina...
Hivi inakuaje watu wanapomaliza kozi ya udereva hawaendi field wa hawa voluntee kwann jamani nisaidieni kwa hilo huwa nawaza bt cpati jawabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina la John Maduhu wa kijiji cha Pandagichiza, wilaya ya Shinyanga vijijini amekatisha maisha yake kwa kuamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne kumjia...
Naaangalia live coverage ya makonda RC na makonda heti anawaambia vijana wacheze mziki live kitu gan kinaendelea jaman .mh Rais unaona haya mambo mbona mi sielewi!!!
Sent using Jamii Forums...
Ama ni mkweche wa kufa mtu,... ukipanda hiyo ndege uvae parachuti tayari kuruka wakari wowote, au ni mbinu ya mnunuaji kupunguza kiwango cha hela ili kuepuka kodi au lawama (criticisms) kutoka kwa...
Halmashauri ya jiji la Dar es salaam limenunua gari la kubebea marehemu wasiokuwa na ndugu na kuzinduliwa jana na Mstahiki Meya wa Jiji Isaya Mwita.
Gari hilo litatumika kubebea miili ya...
Wakuu nimekua nikijiuliza inakuaje saloon nyingi za kiume (Barber shop) nyingi za Tanzania zinakua na picha za wasanii wa Marekani kama sio Jay Z basi utamkuta Ludacris, kama sio T.I basi Rick...
Wakati sehemu nyingine watu wakijipiga vifua kumuunga mkono Rais Magufuli, jimbo LA Nzega mjini linaloongozwa Mhe.Hussein Bashe WAFANYABIASHARA wamegoma Leo na kufunga maduka huku wakidai kuweka...
Ambao mko Ujerumani na Ubelgiji,vipi ubaguzi huko? Maana nasikiaga hata kwenye daladala, kanisani wanakutenga na kukuachia seat wewe mtu mweusi.
Hovyo sana hawa watu.
Kiwanja kinauzwa kipo Chamwino njia panda ya Buigiri, kimepimwa, kina ukubwa wa hatua 57 kw 49, kina jengo lipo kwenye lenta, bei million 11, nafasi ya maelewano ipo, kwa mawasiliano piga...
Bus la Super Feo Express la Songea limeanguka na kuua abiria 2 papo hapo pamoja kujeruhi wengi wakati likielekea Dar es Salaam. Jumla yawaliokufa na hospitalini ilijafia 6.
Ajali imetokea karibu...
Salaaaam wakuu:
nimeona niliseme hili maana ni mda sasa nikifatilia show zenu pale mkitangaza na kuzipamba kwa promo za kila secunde ila mkianza kuonyesha live mnaturudisha miaka 20 nyuma...