Askofu Gwajima Katika Ubora Wake

Askofu Gwajima Katika Ubora Wake

Only crazy persons will spend their bundle to open unknown things.
Mchumi hawezi kuharibu gb 3.7 kufungua jambo ambalo hajui atakutana na nini ndani.
Samahani kwa maneno yangu, may be yamebeba lugha ngumu/chafu kwako.
Au sijui ni ukata umenifanya kuwaza hivyo.
 
Views wa thread 72

Views wa video 6

Mtakaopakua mtuambie kilichopo.
 
Only crazy persons will spend their bundle to open unknown things.
Mchumi hawezi kuharibu gb 3.7 kufungua jambo ambalo hajui atakutana na nini ndani.
Samahani kwa maneno yangu, may be yamebeba lugha ngumu/chafu kwako.
Au sijui ni ukata umenifanya kuwaza hivyo.
Usihofu mkuu, ila jifunze kutofautisha mchumi Na bahili, Ni watu wenye mwisho tofauti kabisa, ume-comment kama bahili kwa kujipakaa manukato ya uchumi...
 
Back
Top Bottom