Kwanini saloon nyingi za kiume Tanzania zina picha za wamarekani??

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Wakuu nimekua nikijiuliza inakuaje saloon nyingi za kiume (Barber shop) nyingi za Tanzania zinakua na picha za wasanii wa Marekani kama sio Jay Z basi utamkuta Ludacris, kama sio T.I basi Rick Ross, Chris Brown, P didy na wengineo

Je hapa bongo hakuna wasanii maarufu wanaonyoa mitindo mbali mbali zikatumika picha zao kwenye haya masaloon badala ya kuwapromote wasanii wa Marekani!??
Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom