Tufichiane siri tafadhari

Tufichiane siri tafadhari

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
7,941
Reaction score
9,692
Nasikia eti huyu tajiri namba moja kamwaga miela zaidi ya shilling billion 700 sasa hapo ndipo kwenye point tafadharini niko chini ya miguu yenu muifiche hii siri kuwa sisi tukipiwe hela tunalamba tu hatujali ni za nini wala za kazi gani na zile ishu za rambi rambi ndio mkae kimya kabisa maombi yangu nu hayo tu wakuu
 
Zishapigwa tayari

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Nasikia eti huyu tajiri namba moja kamwaga miela zaidi ya shilling billion 700 sasa hapo ndipo kwenye point tafadharini niko chini ya miguu yenu muifiche hii siri kuwa sisi tukipiwe hela tunalamba tu hatujali ni za nini wala za kazi gani na zile ishu za rambi rambi ndio mkae kimya kabisa maombi yangu nu hayo tu wakuu

= tafadhalini

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Naishi chini ya $ mbili kwa siku, sitakuwa na 5mln ya kunitoa, sichangii zaidi ya hapa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom