Tv E jipangeni vizur kwa kurusha live events.

Tv E jipangeni vizur kwa kurusha live events.

kabunda88

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
3,094
Reaction score
2,694
Salaaaam wakuu:
nimeona niliseme hili maana ni mda sasa nikifatilia show zenu pale mkitangaza na kuzipamba kwa promo za kila secunde ila mkianza kuonyesha live mnaturudisha miaka 20 nyuma
picha na matukio hayapo clear, kukatakata mara kwa mara ,
inshort mnazingua tu mtu hata huwez kufurah kuona live yenu imefifia sana
jaribun kuiga kwa wenzenu Azam tv wapo clear sana hawababaishi
bora kusubir mkawa na mitambo mizur ndio muanze kurusha matangazo ya live nw bora mricord tu mje mturushie bdy iwe clear
kiukwel mmeanza vibaya sana
show nyng nmeona mnazngua tu mfano
hii ya leo taifa,ile ya kawe na kuna moja ya ilikuaga mbagala na tmk.
nawasilisha sio kwa ubaya kwa roho safi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom