Jamiiforums members

Jamiiforums members

Shaibu Hiwalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
603
Reaction score
582
Jamiiforums ina aina wengi wa wajumbe (members). Mf experts members, verified members, platinum members, members, bronze members nk.
Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi mwalimbali kama nilivyoyataja hapo juu?
Naomba nifahamishwe tafadhari.
 
Kila Siku huwa mnauliza maswali hayo hayo!

Kama ni mgeni humu hakikisha kwanza unasoma threads ambazo mods wamezisticky ili upate uelewa kidogo kuhusu yale ambayo huyajui.

@prunel Maxence Melo
Moderator JamiiForums hebu mumpeleke huyu kwenye mada zinazohusu hicho alichouliza akasome, maana hata tukimpa jibu najua mtaunganisha tu.
 
Jamiiforums ina aina wengi wa wajumbe (members). Mf experts members, verified members, platinum members, members, bronze members nk.
Vigezo vipi huwa vinatumika kuwagawa wajumbe katika makundi mwalimbali kama nilivyoyataja hapo juu?
Naomba nifahamishwe tafadhari.

= tafadhali

Jamii Forums mobile app
 
Cc: JamiiForums
 
Kila Kitu Melo na team yake wameweka humu ndani ukiperuzi vizuri na kusoma utaelewa zaidi hayo mambo ya aina ya members.
 
Ma expert wote tunalipwa....
Jitahidi
 
Hata huko wanatumia
Nimewaza tu, inamaana hata kwenye english wataandika crearance badala ya clearance?
Work true true[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom