samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,971
Vipi huko kwenu, bado "laki si pesa" maana huku kitaa chetu nimeumisi sana huo msemo. Ilikuwa ni hivo na hata kuna wale wadada wavaa kanga moja ndembendembe walikuwa wanajiita hivo ambao siku hizi siwasikii jinsi hali ilivyo mbaya.
Pesa imepungua sana kwenye mzunguuko, kama sio robo basi ni nusu ya pesa iliyokuwa kwenye mzunguuko ukilinganisha na kabla ya uchaguzi mkuu. Hebu tuambiane hapa bado "laki si pesa" ila "milioni ni pesa ya matumizi" lakini bilioni ndio pesa ya kuhonga na kujenga?