Hivi kuna kitu watu wa nje ya nchi wanakiona kwa Raisi wetu, sisi hatukioni?

eddy brown

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
414
310
Tokea JPM akabidhiwe nchi hatujamuona kwenda nchi za nje na kuomba misaada kama ilivyo kawaida ya mwenye shida,lakini hapo hapo wao ndo wanakuja na kutupia hio misaada hapa na isio na masharti,je nini hao wamekiona kwa raisi wetu na nchi yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa Mfano ni msaada gani uliokuja kutoka nje usio kua na masharti tupe na kamfano
 
Good governance,fighting corruption,an increase in tax collections,extension of social services to the simple mwananchi etc
 
Good governance,fighting corruption,an increase in tax collections,extension of social services to the simple mwananchi etc
Umesahau moja tu sema anti democracy , too regionalist .
 
Tokea JPM akabidhiwe nchi hatujamuona kwenda nchi za nje na kuomba misaada kama ilivyo kawaida ya mwenye shida,lakini hapo hapo wao ndo wanakuja na kutupia hio misaada hapa na isio na masharti,je nini hao wamekiona kwa raisi wetu na nchi yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Who is sisi? Jenerali al-Sisi si ndiyo alikuja juzi kumwaga neema toka Misri. Labda mkumbushe Kamanda Tundu - au labda mkeshe naye mkiomba - ili ndoto yake utimie ya kuitenga na kuikemea na kuisusia Tanzania. Pia nimeona kuwa sarafu ya Euro na Pauni na Yeni na shilingi ya Kenya zinaporomoka mno dhidi ya shilingi yetu. XR ya wiki iliyopita ililuwa shili gi 2251 dhidi ya dola leo ni 2239: naam, walio nje wanaiona vizuri nji yetu hawajavaa mawani meudi ya CDM. WM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom