Wakati huu kuna mkutano wa maendeleo ya miundo mbinu ktk jiji la dar kati ya mkuu wa mkoa, madiwani, wenyeviti wa mitaa na mainjinia wa jiji.
Vituko vimeanza mara baada ya mkuu wa mkoa kuruhusu...
Baada ya Serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani ilifanya mabadiliko mengi yakiwemo baadhi ya makusanyo yawekwe Benki Kuu, nyingine zilifutwa... (tozo, ushuru, ada, kodi nk) Manispaa zilipaza...
Toka juzi katkati ya jiji la Dar hasa mitaa ya makunganya, jamhuri karibu na roundabout ya Bharklesa, Bilcanas na kwingineko kulikuwa tafrani kubwa baada ya kuanza operation ya kukamata magari...
Ni jambo la kawaida lakini kwa fani hii inayohusudiwa sana hili ni jambo la kuvutia kwa vijana,
Familia hii huko Delhi wote ni marubani baba mama mtoto me mtoto ke wote fani moja.good.
The only...
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam imesema wanaongoza kuvunja Sheria za Usalama Barabarani ni madereva wanaoendesha magari ya Serikali wakiwamo askari wa jeshi hilo.
Kaimu Kamanda wa kanda...
Hakuna asiyefahamu kuwa TBS ni Shirika la Viwango Tanzania, na TFDA ni Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania.
Lakini kwenye utendaji kazi ndio nashindwa kuelewa ni taasisi ipi muhimu kwa Binadamu...
Suala la ujangili umekuwa mkubwa sana hapa nchini na vita hivi vinahitaji sheria kali naomba serikali ipelekee mswaada bungeni ili mtu/watu wakipatikana na hatia ya kuua Tembo ama Faru adhabu iwe...
Wakuu mimi akili yangu yote inawaza Abroad Nipo masomoni bado ila nafikili zaidi kuishi abroad baada ya kumaliza Chuo, Nahitaji Brothers and sister mlioko mataifa mbalimbali nje ya Africa mnipe...
Jana niliifuatilia sana usomwaji wa bajeti ya serikali ya ccm na siku zote Nalia na déni la taifa tunalodaiwa watanzania limeshafikia trilioni 100 sasa kwa mujibu wa waziri wa fedha
Sasa mipango...
Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA Kata ya Leguruki aitwaye Anderson E. Sikawa kabla hajahamia CCM kwa mbwembwe nyingi na matangazo ya kumuunga Magufuli mkono huko Arumeru, amepatwa na janga la...
Baba mmoja alikuwa akipenda sana kucheza karata na mwanae pindi wamalizapo kufanya kazi zao za asubuhi. Kutokana na uzee wa Baba, Yule ustadi wake katika mchezo wa karata ukawa ukipungua siku hadi...
Wandugu za wikiend
Nafikiri wote mnajua Barabara zetu jinsi zinavyoonyesha kinyaa kwa ubovu wa Barbara zetu. Sasa cha kushangaza kwenye kongomano la Mkuu wa Mkoa kuhusu Barabara, Injinia wa...
Wakuu,
Natanguliza malalamiko yangu tena kwa TRA, jana yamenikuta baada ya kujifanya mzalendo na kutaka risiti yenye thamani halisi ya mzigo, nimenyang'anywa mzigo na mwenye duka na maneno kibao...
Tokea karne ya 15 rasilimali za kiafrika ikiwemo Tanganyika zimekuwa zikiporwa kibabe na Wazungu na Waarabu. Rasilimali hizi hususani watu, madini, mazao mpaka mabaki na historia zimeishia...
Karibu channel Ten sasa ufuatilie mubashara mkutano wa maendeleo ya Dar City!! Ahsante. Update: Injinia wa manispaa ya Ilala anawekwa kitimoto na kuna kila dalili za kutumbuliwa kisa ameshindwa...
Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti
Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form...
Baada ya kurejea kutoka nchini Marekani kwa matibabu, wanafunzi watatu walionusurika kwenye ajali mbaya ya gari, asubuhi hii wanafanyiwa tafrija maalum shuleni kwao.
Tazama live: LIVE: Hatimaye...
Mwili wa mtu asiyejulikana umekutwa kwenye fukwe za Kawe ukiwa umefungwa kwenye kiroba Asubuhi Hii na Hadi sasa haujatambulika kuwa ni mwanaume au mwanamke.
Mashuhuda wanasema kuwa wavuvi...