Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau kwema?? Kwa sasa na haswa kwa wilaya ya kinondoni umeingia mtindo wa watu wapo kama wahuni tu wakiwa na Noah yao na kuanza kukamata magari binafsi ambayo yanapaki kwenye vituo, je hii ni...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
hello JF, Sijui kama hio system ipo au bado, Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu, sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Wizara ya nishati na madini amewataka wataalamu wanaopelekwa kusoma nje ya nchi kwenye fani za kutafuta,kuchoronga,na kuandaa mikataba ya madini na gesi kuhakikisha wanarudi kufanya kazi nchini...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Shikamooni wakubwa zangu na wengine habari yenu? Lengo la uzi huu si kuwafundisha kazi serikali au viongozi wetu najua wana mipango yao. Serikali inataka vijana wafanye nini au wawe wezi? Maana...
0 Reactions
7 Replies
867 Views
Ndugu wana jamvi ni takiribani miaka miwili tangia huyu Jpm aingie madarakani lakini mpaka sasa hakuwa alichokifanya kwa watumishi wa umma cha maana zaidi ya kuwaletea usumbufu wa uhakiki...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
English version - Click here: August 21 New Moon Brings a Total Solar Eclipse Kawaida, kila baada ya kupatwa kwa Mwezi, kupatwa kwa Jua hufuata wiki mbili baadaye. Na hivyo ndio itatokea baada...
5 Reactions
9 Replies
5K Views
Naomba waziri anaye husika na wizara ya afya apige marufuku matumizi ya simu wakati wa kazi, nimeenda hospital ya sekoutoure mwanza nikiwa na mama mjamzito badala ya kupewa kitanda hakuna huduma...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwanaume mmoja alijaribu kujiua jana masaa machache baada ya mkewe kukutwa amekufa kwenye chumba chao mtaa wa Riverside Ubungo Dar es Salaam. Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 75 alikamatwa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limesema tayari limewahoji watu kadhaa kuhusu tukio la jaribio la kulipua nyumba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Imam Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis. Akizungumza na...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema msaada wa uchimbaji wa kisima cha huduma ya maji safi na salama kilichochimbwa kwenye Kituo cha Mahabusu ya Watoto Upanga, kimeipunguzia Serikali gharama ya...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Jana katika pita pita zangu nilikutana na rafiki yangu ambaye kwa sasa ni mtumishi wa umma, amechoka hana furaha na amejawa na huzuni tele, rafiki yangu huyo alinieleza mambo mengi ambayo...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
[emoji779]UJUMBE WA LEO[emoji779] *Maelekezo ya maisha katika Qur'an* *1_Usizungumze kwa ukali (3:159)* *2_Jizuie na hasira (3:134)* *3_Kuwa mwema kwa wengine (4:36)* *4_Usiwe mwenye...
12 Reactions
29 Replies
6K Views
Jaman wakuu naombeni ushauri ni mtandao upi upo vizuri kwenye swala la internet na vifurushi vyao maana nimeombwa ushauri nami nikajikuta nang'aa macho tu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Hamna kitu kama ubaguzi bali duniani, na ata unaodhani wanakubagua kwa langi yako jua wewe mwenyewe ndo unajibagua Hii ni nyia iliotengenezwa na wazungu ili waafrica wazidi kujidharau Fikiria...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kujenga Nyumba na kuweka/kuzungushia UKUTA (Fence) isikujengee kichwani mwako kuwa unaweka uzio kwa jirani yako, asikusogelee kulia shida yake, ama kuuliza/kujua hali yako....!! Mungu ni Mwema...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salamu ndugu zangu. Wataalamu wa mambo ya electronics, telecommunication au wajuzi, ni kifaa gani cha kielectronic hutumika kufuatilia mawasiliano ya simu ya mkononi kwa hapa kwetu Tanzania...
6 Reactions
45 Replies
13K Views
Wakuu habari za siku, Hii ni dictionary moja matata sana naombeni wakuu kama kuna mtu ana link ya latest version ya hii dictionary anisaidie au crack yake, Ahsaneni sana.
0 Reactions
0 Replies
627 Views
KAHAMA: Licha Shule ya Msingi Lwabakanga kuzungukwa na migodi ya madini, wanafunzi 373 husomea nje kwa ukosefu wa madarasa Mwananchi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SAKATA la malipo ya Dola za Kimarekani 168, 800,063 (takribani 400bn / -) dhidi ya kampuni mbili za Kitanzania limechukua sura mpya mara baada ya kampuni hizo kugeuza kibao na kutaka benki mbili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…