TANESCO tunaomba mtuambie hii adhabu mnayotupu kila siku jioni kuanzia saa 12 hadi muda mtakapoamua kurudisha huu umeme wenu, adhabu hii itaisha lini, hivi kweli kuna sababu yoyote ya msingi ya...
Wote tumekua mashuhuda kwa yanayoendelea au yanayofanywa kuhujumu upinzaji katika nchi hii.
Tumekua tukishuhudia ubaguzi wa wazi kabisa sio tu kwenye majukwaa bali hata katika utendaji hsa kwa...
Chama Cha Mapinduzi, kimebeba mzigo wa madeni.
Msiri wangu hapa Lumumba
amenidokeza kuwa chama
kinadaiwa hadi na vyombo vya
habari.
Kimeshindwa kuwasilisha
makato ya wafanyakazi wake...
Mtandao mmoja wa Uholanzi (safari booking) imeitaja Tanzania kuwa kituo bora zaidi cha utalii Afrika kwa mwaka 2017 ikifuatiwa na Botswana huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Zambia.
Wakenya mmpo...
Kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto hii ndiyo ripoti ya usafi kwa Halmashauri za Majiji na Manispaa .. Moshi na Arusha zaongoza Kigamboni imeshika mkia. #TupoTayari
Hebu sasa wenye ujuzi na fani zao watueze bila Soni kabisa; kwenye ideal conditions ya hospital ukiwa na mfamasia, MD na muuguzi akaja mgonjwa wa malaria mgawanyo wa kazi zao kulingana na fani zao...
Ninasikiliza kipindi cha 360 cha Clouds TV muda huu, na muda mfupi uliopita mtangazaji wa kipindi hicho Hassan Ngoma alikuwa akisoma vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali ya hapa nchini ya...
Yule David Tarimo wa PWC naye anaelekea kutaka kujitoa. Walau huyu anastahili heshima kwa kutambua mgongano wa kimaslahi kuliko Machunde aliyesingizia CHADEMA
Kamati ya madini yageuka kama...
Hakuna kusafiri kituo cha daladala cha mawasiliano asubuhi hii kwa wanainchi kutokana na mgomo wa daladala wa ghafla ktk kituo hicho.
Sababu za mgomo hazijulikani!!!
=====
Waendesha daladala...
Nyumba 286 Dar zapata kinga ya Mahakama katika bomoabomoa
Dar es Salaam. Wakati operesheni ya ubomoaji wa nyumba zilizoko ndani ya umbali wa mita 121.5 kutoka katikati ya Barabara ya Morogoro...
Uchongee kwa Wadeni wetu ili wakamate Mali zetu halafu Watanzania tukamuliwe hadi akiba zetu za Vikoba na Sakosi ili tuanze tena upya safari yetu ya Kiuchumi ambayo pengine hata Wewe ' mchongeaji...
Hii nchi ya ajabu sana, eti unazuia nurse asiuze dawa meanwhile unaruhusu medical attendant aendelee kufanya kazi za nurse wakati hajasoma nursing! Halafu kuna watu wanakurupuka na kusifu ati hiyo...
Wanajamvi waliosoma Likonde Seminary Miaka ya 80 na Tisini wapenda kuwaarifu mwenzetu Alphonse Nchimbi amefariki dunia jana. Taratibu za kusafirisha zinafanika kivule tayari kwenda wilaya ya Nyasa...
Ndoto za wanandoa wengi wanapooana huwa ni kuishi pamoja hadi kifo kinapowatenganisha. Vivyo hivyo, wazazi wao, ndugu na jamaa hupenda kushuhudia wanandoa hao wakifanikiwa katika safari ya maisha...
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limesema tayari limewahoji watu kadhaa kuhusu tukio la jaribio la kulipua nyumba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Imam Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis.
Akizungumza na...
Pole na uchovu wa safari na kuendesha chombo kwa umahili mkubwa, hata hivyo mimi mmoja wa abiria wako nina swali moja tu, je Lori letu linaelekea wapi??
Wala hata usikasirike dereva wangu...
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi...
Pamoja na vifurushi Vingine,
Kifurushi cha strimika YouTube,
Walikuwa wanatoa mb 1200 kwa sh 500.
Natumia siku nzima bila kumaliza,
Lkn Ss kwa sh 500 wanatoa mb 600 ambazo hazimalizi hata saa1'...
Mwalimu wa shule ya msingi katika kata ya Ligunga tarafa ya Matemanga wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Rajabu Morisi amefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake na...