Je, wabunge wa upinzani mmejipangaje?

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Wote tumekua mashuhuda kwa yanayoendelea au yanayofanywa kuhujumu upinzaji katika nchi hii.
Tumekua tukishuhudia ubaguzi wa wazi kabisa sio tu kwenye majukwaa bali hata katika utendaji hsa kwa serikali hii.

Tumeshuhudia maendeleo yakipelekwa mahali walikochagua chama tawala na upinzani kuachwa solemba bila kusahau kauli za mkuu, ''Nyie si mmechagua upinzani? waambieni wawaleteen maendeleo''

Je upinzani mmejipangaje kukabiliana na hili maana wananchi watawauzliza 2020 mlitufanyia nn? kwangu mimi naliona hili la ubaguzi katika maendeleo majimboni n mkakati wa kwanza kuwapunguza kabla wa ule mkuu wa sanduku la kura....
kwa mbali nauona upinzani ukienda kupotea 2020
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom