1. Ni ukumbi ambao unaweza (kwa wakati mmoja) kupata maoni/mawazo/fikra za watu/watanzania wa aina zote kuhusu mada iliyo mbele yetu kuhusu Taifa letu!
2. Unaweza kuuliza lolote ukapata...
Nafungua mjadala kama Mtanzania unaona rangi sanifu za utambulisho wa Shirika letu la Ndege la Tanzania je zinafaa na kukidhi mahitaji ya sasa?
Kwakuwa lilizaliwa upya, lazima kila kitu kiwe na...
JESHI la polisi Mkoa wa Kigoma, linawashikilia wakimbizi 19 wa Kambi ya Nduta iliyopo Wilaya ya Kibondo kwa tuhuma za kufanya fujo.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui, alisema...
Angalia hii Clip - Huyu jamaa ni hatari. mambo nje nje. Dont try at home!!
Jamaa anatumia mafuta ya Mzaituni kuita majini na mapepo baada ya kuyaombea dua maalum, hebu angalia hapa vioja mchana...
Huenda sie walimu wa sanaa tulikwisha mkosea kitu huyu rais wa nchi hii na kaamua kutusomesha namba sawa na akina manji, lugumi et al
itakumbukwa hata kura hatukupiga 2015 kwani uandikishwaji...
Habari wakuu,
Ni jambo gani la ajabu na aibu umewahi kulifanya ofisini kwako au kwenye gari lako, chooni, chumbani, uwanjani, mtoni nk kiasi kwamba unahisi kama watu wangejua ingekuwa aibu...
Hali hii ya macho kujitokeza nje kwa kiasi kikubwa ni dalili ya ugonjwa wa Graves' disease, jina Graves' linatokana na mtaalamu aliyegundua hali hiyo inayosababishwa na tezi ya thyroid kufanya...
Dar es Salaam ni jiji la watafutaji.
Kila mtu yuko bize kutafuta ngawira lakini gharama ya maisha huwa inakuwa kikwazo kwa wengi hasa wale ambao ni wabishi kujikana nafsi na kuwa flexible.
Kuna...
Mm ni mfanyakazi katika kampuni binafsi nina mwaka sasa miezi minne iliyopita nilipata ugonjwa wa kifua kiku u kampuni yangu ilinipa likizo ya kwanza nilipomaliza likizo Ali yangu ilikuwa bado...
Bismillahir Rahmanir rahiim
JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA
Simu 0715536313 – S.L.B. 2055 Dar es Salaam
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - 27. 7. 2017
Ndugu Wana habari tumekuiteni ili...
Naona ukata umetamalaki mitaani, hii halmashauri ina tangazo la kuuza Viwanja lina zaidi ya mwezi sasa.
Wamekosa Wateja?mbona bei rahisi kuanzia milioni tatu?
Hii ina tafsiri gani?zamani wakati...
Kujua tatizo kwa uhakika ni muhimu sana kuliko kutokulijua na kuhangaika kulitatua! Nini hasa tatizo kuu la Taifa la Tanzania na watanzania ambalo tukilimaliza litakuwa na matokeo makubwa kwenye...
Poleni na majukumu wakuu
Leo napenda kujua tumewakosea nini Hawa wamiliki wa mahoteli na migahawa iliyo pembezoni mwa hizi Barbara zetu mkuu
Mshikaki wa mia mbili wao wanauza elfu moja,maji ya...
Habari wanajamvi.
Poleni na changamoto za mchana kutwa.
Naomba kusaidiwa juu ya wasifu halisi wa mmoja wa waigizaji walioshiriki kwenye series ya the promise two akitumia jina la Ina.
Mr Smile
BISMILLAH
ALLAH AKBAR! ALLAH AKBAR! ALLAH AKBAR!
Nimesoma hii na nikalia
sana na nikaona
aibu kwa Allah kama
sitasambaza kwa
wenzangu.
Maana ina faida na ajeer
nyingi. Hii hadeeth qudsy
ukisoma...
hawa ccm ni majizi sana ila inabidi utumie akili kuwagundua.
1)wanafunzi wanaoomba mkopo wanatakiwa walipe elf 3 ya Rita kwa ajili ya vyeti
2)continues students wanatakiwa walipe elfu 5 kwa...
Toka juzi katkati ya jiji la Dar hasa mitaa ya makunganya, jamhuri karibu na roundabout ya Bharklesa , Bilcanas na kwingineko kulikuwa tafrani kubwa baada ya kuanza operation ya kukamata magari...