mlogolaje
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 1,509
- 813
Poleni na majukumu wakuu
Leo napenda kujua tumewakosea nini Hawa wamiliki wa mahoteli na migahawa iliyo pembezoni mwa hizi Barbara zetu mkuu
Mshikaki wa mia mbili wao wanauza elfu moja,maji ya mia tano wanauza wanavyotaka
Chakula cha elfu mbili wao kwao elfu saba
Mbaya zaidi vyakula vyao vingi havina ubora