Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,977
- 36,083
hawa ccm ni majizi sana ila inabidi utumie akili kuwagundua.
1)wanafunzi wanaoomba mkopo wanatakiwa walipe elf 3 ya Rita kwa ajili ya vyeti
2)continues students wanatakiwa walipe elfu 5 kwa ajili matokeo yao yatumwe tcu
3)first years wote watatakiwa walipe elfu 20 kwa ajili ya kutuma maombi yao tcu, lakini kumbuka wakati huo huo walilipa zaidi ya elfu 50 kwa ajili ya kuomba vyuo
4)elfu 30 ya heslb
5)madereva na makonda nguo ikichanika kidogo tu wananyang 'anywa nguo zao za kazi ili wakanunue mpya serikalini na bei yake ni zaidi ya elfu 50,ukinunua mtumba pia wanakunyang' anya
6)system ya mkopo ipo chini ili wachache ndo waweze ku apply na deadline haisogezwi mbele na walitoa Muda mchache.