Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nisiandike mengi, niseme tu, salute kwako balozi, dkt Nchimbi Tungekua na wanaume watano tu kama wewe huko sisiem basi tungelikomboa taifa
0 Reactions
2 Replies
97 Views
MAMBO 6 AMBAYO MWANAUME HAPASWI KUVUMILIA KAMWE KUTOKA KWA MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Tz Mtibeli Vijana lazima mjue uanaume ni uongozi. Na ili uwe kiongozi lazima uweze kujiongoza...
14 Reactions
138 Replies
2K Views
MWANAMKE HATA KUJINUNULIA VOCHA HAWEZI ALAFU ANALAZIMISHA AKUSHAURI. UJINGA MTUPU! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyie dada zangu. Nilishawaambia mfanye kazi. Baadhi yenu bado vichwa ngumu...
1 Reactions
2 Replies
36 Views
Nivile tu watu wanasahau kua unaweza kuunda virusi na vikakushambulia mwenyewe
0 Reactions
0 Replies
43 Views
Mimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya...
3 Reactions
16 Replies
235 Views
Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026 Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza...
0 Reactions
7 Replies
149 Views
Ni pambazuko la siku nyingine tena... Wengi mko vitandani mwenyu mkimalizia usingizi mnono na ndoto anuwai... Wengine tuko zamu... Neno SALAMA si geni masikioni mwetu ni neno la kawaida na...
16 Reactions
55 Replies
9K Views
Wakristo tuache ujinga. https://youtu.be/MLxIyMnviyI?si=wDL9LaVjN_QjTG04
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Nasubiria mirejesho yenu tafadhali kwani niliposema kuwa lazima Makamu awe ni Mkatoliki mkanipinga sana tu.
8 Reactions
81 Replies
2K Views
CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake...
0 Reactions
0 Replies
11 Views
Na leo nawahakikishieni tena kuwa Tanzania Rais au Makamu wa Rais akiwa ni Mkristo kwa 100% lazima awe ni kutoka Kanisa Takatifu la Katoliki. Madhehebu mengine watashika tu nafasi za Uwaziri Mkuu...
8 Reactions
32 Replies
545 Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia wataalamu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, imefanya kikao na Kampuni ya Barrick North Mara Gold Mine pamoja na viongozi wa Vijiji...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Najaribu kuwaza hv mfano kwa roho mbaya tulizonazo Kuna mwanya labda emm kufikishwa mahakamani? na kama ni hivyo kwa kifungu kipi alichovunja?
2 Reactions
9 Replies
89 Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dkt. Evaline Wilbard Munisi amezungumza Bungeni leo Mei 8, 2026 kuhusu stahiki za Watumishi ambao hawapo kwenye ajira na walikuwa...
3 Reactions
9 Replies
463 Views
Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo). Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio...
4 Reactions
15 Replies
256 Views
Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi...
1 Reactions
8 Replies
92 Views
Naendelea kukisoma hiki kitabu 48 Laws of Power by Robert Greene Law 1 Never Outshine the Master Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress them...
4 Reactions
3 Replies
72 Views
Dk Elizabeth Sanga Chama cha ACT Wazalendo kimesema utekelezaji wa ahadi ya siku 100 ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Bima ya Afya kwa Wote umeshindwa kuwafikia wananchi wengi, huku kikidai...
0 Reactions
3 Replies
31 Views
Kuna watu ambao hawakudhuru wao wenyewe, lakini wanafurahi kwa siri pindi wengine wanapokudhuru. Hawakushambulii, lakini hufurahia anapokushambulia mtu mwingine. Baadhi ya watu wenye chuki na...
0 Reactions
7 Replies
68 Views
Habari ya mjini sasa hivi ni kesi ya Mheshimiwa Lissu huko kwq pilato Wengi tunafuatilia hii kesi,na tunaona minyukano ya maswali,wakati mwingine unaweza hata kujiuliza hivi haya maswali yana...
1 Reactions
0 Replies
55 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…