Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sehemu ya kula wasafiri pale Morogoro Msamvu njia ya kwenda Iringa ni chafu, vyakula vinavyouzwa vimelala siku mbili, chips ni nyeusiii sijui ni mafuta au ndio tunauziwa vyakula vya kulala! Na...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Anonymous
Magari wakati wa mvua mara nyingi yanakwam Upimaji kiwango cha lami sijui wanapima mara ngapi ila wapimaji mara nyingi wanakula kodi za watanzania kwa kuja kupima. Wabunge madiwani kura zao...
2 Reactions
5 Replies
142 Views
Kijana mmoja mtumishi wa serikalini, avamiwa na vibaka, maeneo ya kijangwani na kumpandikizia eti kamshika mtu bega kumbe ni mkakati wa kumpora, kapewa kichapo, na pesa milioni tano wamesepa nazo...
5 Reactions
21 Replies
516 Views
idea hii ya biashara niliipata mwaka jana, na ningeipata kabla ningekua nao wengi sana, Je Punda ana kazi gani ? - punda ana kazi nyingi ambapo maranyingi huwa kazi ngumu kama kulima kuchota maji...
3 Reactions
15 Replies
236 Views
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imeanza kufuatilia kwa kina malalamiko ya wananchi kuhusu matangazo ya huduma za massage yanayosambazwa...
0 Reactions
8 Replies
645 Views
Kati ya story za Mungu wa Biblia zenye utata ni ya kuikataa sadaka ya Kaini ya mazao kisha akaikubali sadaka ya wanyama wa Abeli/Habili. Huwa zinasemwa tu nadharia mbalimbali kuhusu sadaka yake...
3 Reactions
13 Replies
315 Views
Ukitaka kumuelewa zaidi mzingatie hapo anapoweka sana mkazo huku Sauti yake ikiwa juu kabisa. Pastor Winnie Kilemo Mimi Kaka yako GENTAMYCINE nimekuelewa vyema na hakika nikiwapata Wanawake...
3 Reactions
11 Replies
266 Views
Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU leo nmemfunza kitu huyu bodaboda. Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka...
5 Reactions
18 Replies
408 Views
Uharibifu wa Ziwa Victoria: Matokeo ya Shughuli za Kibinadamu Yaanza Kuonekana Wazi Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la shughuli za kibinadamu kandokando ya Ziwa Victoria...
2 Reactions
0 Replies
120 Views
Nimefika Lindi na jamaa zangu wawili muda huu. Sote ni wageni mkoani hapa. Tutakuwepo kwa siku 21. Mimi naomba mwongozo nipate lodge nzuri ya kuanzia tsh 30,000- 50,000 isizidi hapo. Iwe nzuri...
6 Reactions
63 Replies
11K Views
Ofisi za Gazeti la Pambazuko zimevunjwa na watu wasiojulikana na kuibiwa vifaa mbalimbali zikiwemo nyaraka, kompyuta mpakato (laptop) mbili na kamera ya kazi za uandishi wa habari. Tukio hilo...
5 Reactions
4 Replies
234 Views
Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira. Jamaa ana madini sana.
1 Reactions
6 Replies
178 Views
Habari familia yangu ya JF, Katika hali ya kushangaza lakini yenye ukweli mkubwa kuna kundi kubwa sana la watu wanaamini katika nguvu za giza zaidi ya wanavyoamini uwepo wa Mungu, pamoja na ukuu...
8 Reactions
12 Replies
402 Views
Basi bhana Mimi ndo mweka alamu lakini na snooze sana, mpaka maana ya alamu inapotea 😁😁😁 Mwendo wa kusnooze hii weekend ni 🔥🔥, Mvua, baridi Kali alamu inasumbua, saa 11 kamili naenda wapi sasa...
3 Reactions
6 Replies
157 Views
TOA TAARIFA ZA UKATILI POPOTE ULIPO 0677 200 367
4 Reactions
8 Replies
156 Views
Kwa mujibu wa wao wenyewe Wenge BCBG ni kuwa mara baada ya ziara yao ya Tanzania mwaka 1997 ndo ukaibuka mgogoro mkubwa uliosababisha wasambaratike na kundi kuvunjika. Mwaka mmoja baadae Koffi...
1 Reactions
1 Replies
118 Views
Mrisho Mpoto alianza enzi na mashairi yaliyomleta kwenye ramani akianza na lile la "Mpendwa mjomba, tumetengenishwa na ukuta..." Watu wakamuelewa na namna yake ya kughani, wimbo wa mwisho wa aina...
2 Reactions
7 Replies
875 Views
Na sijui kwanini Wanawake wengi wanaopenda Kufuga ni wale walio Warembo hasa ila wale 'Sura Ngumu' huwa hawafugi kabisa. Kunyoa nywele za sehemu za siri kabla ya Hedhi ni uamuzi wa mtu binafsi...
3 Reactions
6 Replies
292 Views
Wakazi wa Morogoro, hasa tunaoishi maeneo ya Kihonda na Manyuki, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya barabara, hususan kipindi cha mvua. Barabara ya Manyuki inayotokea Mazimbu imeharibika, na...
2 Reactions
2 Replies
239 Views
Yan waarabu wanadharau ya hatari,yan mdada anapewa mbwa ajamiane nayo,na hela anarushwa. Eti mtu mweusi harusiwi kula pamoja na mwarabu,eti...
4 Reactions
10 Replies
245 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…