Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamvi, napenda kukuri kuwa mimi sio mwandishi sana kwenye majukwaa haya ya JF na pia tokea utawala huu uingie madarakani sijaandika kwa kushauri ama kukosoa kwa jambo lolote lile. Mimi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau nianze na salaam kwenu wote! Tangu nimalize chuo cha Madini mwaka 2015 nimekuwa muhanga wa janga la ajira hivyo nikajichanganya sana kwenye machimbo madogo ya dhahabu na Mali za kijerumani...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Nashangaaa sana watu wa afya manispaaa Kinondonii wanafanyaa ninii hivi mshawahi pita hii bar iko mkwajuni maseo bar Chafu chafu na hatare kwa afya ya binadamu sanaaaa sanaaa Vyooo vimeja\...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Tundu Lisu ni mpinzani. Mpinzani halisi. Ninaamini hata ikitokea CHADEMA ikaingia madarakani ataendelea kuwa mpinzani. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Imekuwa ni tabia ya wastaafu wanaolipwa pension kupitia posta Ilala Amana kucheleweshewa malipo yao bila ya kuambiwa sababu. Makubaliano ya awali na NSSF ilikuwa malipo yatakuwa tarehe 25 ya kila...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wamiliki wa baa zilizobomolewa kupisha upanuzi wa Barabara ya Morogoro eneo la Kimara Stop Over wameendelea kufanya biashara kwenye masalia ya majengo yao, wakitundika miamvuli kwa ajili ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waaaaslaam hapa jamvini Last week nlienda kufatilia mkopo (wa wafanyakazi) Nmb tawi la kasulu kwa bahati mbaya nkamkuta afisa mikopo amesafiri nkapewa appointment ya kuonana nae next week...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu JK aliambie taifa kwamba eti kuna "udini" baada ya kushindwa kwa kishindo katika uchanguzi mkuu wa Oktoba, 2010, bado haijafahamika hasa alimaanisha nini kuhusu hilo! Bahati mbaya sana JK...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati Niko chuo darasa letu lilikuwa na watu wenye umri had over 50. Kuna Mzee mmoja nilimheshimu sana nikawa namuita Baba kwa maana ya umri alio nao ni Sawa na baba yangu. Siku moja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kua MODS wamegoma kujibu basi ngoja ikae hivo hii thread...
3 Reactions
165 Replies
27K Views
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa...
10 Reactions
132 Replies
16K Views
Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
We!! mtanzania pata picha lowassa ndio angekuwa ameenda kupanda kivuko cha magogoni,lowasa kwa sasa eiza angekuwa anahojiwa kwa kosa la kupanda kivuko,ama yuko ndani kwa kosa la kupanda kivuko...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Hawa jamaa walianza vizuri sana,speed kali na bei nafuu mpaka nikawa addicted nao Majuzi wamepandisha bei ya vifurushi na speed imeshuka bado nipo loyal ila this week nimegundua kitu cha ajabu...
18 Reactions
105 Replies
12K Views
Nimeisikia hii story mara kadhaa ila silioni andiko lake online. Je ni kwanini aliwahasi wanaume wafupi kwa kimo huyu dikteta? Anaeielewa story yake atiririke tafadhali tupate elimu. Sent using...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Huu wimbo ni mzuri, sharing is caring "God Bless The Child (Extended Remix)" Hallelujah, hallelujah, God bless the child who suffers Hallelujah, hallelujah, God bless the young without mothers...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
magazeti yetu kwa leo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dar es salaam. Ghorofa la Revy Kapinga, mjane aliyetaka kwenda kugalagala kwa Rais John Magufuli, limebomolewa nusu. Jengo hilo ambalo pia lina ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Stop Over...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 filamu za kitanzania hasa maigizo katika vipindi mbalimbali vya televisions vilifana sana. Ingawa mwanzoni mwa 2010-2015 filamu zilianza kushuka kwa kazi kutokana na...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Pamoja na kusubiria kama kuna marekebisho mwezi huu ila bado mambo ni yaleyale. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…