Hukumu hiyo, ilitolewa na hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Hassan Momba, baada ya mwalimu huyo kukiri makosa ya ufujaji, ubadhirifu na kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu akiwa mtumishi...
Habari za muda huu.
Huwa naona kutowaharibu watoto basi mbali na habari watazame katuni kwenye Tv ila leo hii nimegundua sio zote njema hivyo napenda pia kuwasia wazazi na walezi.
Kuna hii...
Mkazi wa Kijiji cha Azimio Kata ya Salawe, Felister Mdoshi amemchoma moto mjukuu wake kwa kutumia mfuko wa nailoni aliomfunga mkononi, akimtuhumu kumuibia Sh5,000.
Licha ya kumfanyia ukatili huo...
ZAIDI ya watu milioni 1.2, hufariki dunia kila mwaka duniani kutokana na ajali za barabarani.
Pia watu milioni 20 hadi milioni 50, hupata ulemavu kutokana na ajali hizo.
Takwimu hizo...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Ubungo imeanza kuzifungia rasmi shule zote binafsi ambazo hazijasajiliwa katika kata ya Kwembe huku ikibaini kuwepo kwa shule takriban 100 ambazo hazijafuata utaratibu...
Habar zenu wadau, Leo naombeni mnipe ushauri hapa
Kuna mama wa kizungu alikuja kwangu nika m handle Kwa ukarim wangu wote nilionao,
Siku naondoka akaniachia pesa kidogo Sana, ila...
Nimepata taarifa toka chanzo cha uhakika kwamba hiyo hospital mochwari hapafai, majokofu ni mabovu hayafanyi kazi muda sasa.... Humo ndani ni kunanuka na ni uvundo mtupu huku mainzi kama yale...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametoa siku 30 kwa wamiliki na madereva wa bodaboda nchini kote kuhakikisha wanakuwa na kofi a ngumu (helmet) mbili ili kuwezesha dereva na abiria...
Bill Gates ni bilionea namba moja duniani. Utajiri wake ameupatia kwenye sekta ya teknolojia kwakuwa muanzilishi-mwenza wa kampuni ya Microsoft.
Kwa kipindi chake, kuweza kuanzisha kampuni ya...
The three men who formed the mock financial firm that stole billions from the Bank of Tanzania in association with the Meremeta Gold and Tangold mining companies were not working for the South...
Hii niliikuta mahali na nimeona si mbaya pia nikawashirikisha wana JF wenzangu katika lengo tu la kushirikishana mambo mbalimbali katika maisha yetu.
Je, ni maamuzi gani magumu umewahi kufanya...
hello JF,
mie nilikua najiuliza,
kwa nini system ya majitaka Dar,haiko effective,
Mvua ikinyesha,vinyesi kila mahali,mlipuko wa Magonjwa unatokea.
ni kweli city planners wetu,wameshindwa...
Amani kwenu katika hii siku ya Bwana.
Jamani tuwe wakweli kwa nafsi zetu kuhusu haya mambo mawili hapa,bila chuki wala hiyana.
1.Nyie wamatumbi na wakwere mnaoshupaza shingo humu jamvini kumtetea...
Basi la Sai Baba linalotoka Dar - Mbeya limeanguka muda wa saa 1.50 usiku katikati ya Chimala na Igurusi.
Bado haijafahamika kama kuna watu wamefariki. Lakini watu wengi wamejeruhiwa...
Naomba kujua tu kwa ujinga wangu:-
- Executive arm inao wasemaji wake kwa masuala anuayi, toka Msemaji wa Ikulu hadi wizara, Idara na hata chama tawala, kwa maslahi ya Executive.
- Ukija...
Wao wanasema wanatoa mikopo online, weka akiba na utapokea mara kumi ya ulichowekeza. 100,000/= utapokea mpaka 1,000,000/= jamani ndani ya 1hour unapata pesa yako tena hapo hapo ulipo kwa TIGO...
Wakati chadema wakipigania demokrasia na kulalama kuwa CCM ina udikteta lakini ndani ya chama hicho kuna makada wanaofikiria kinyume.Kuna wengine wanampigania Gaddafi.Kuna posts nimeziona zenye...
Unajikuta stimu zimekata pale mnapoweka commercial break,
Lile lisauti (in most of them) kwa kweli halikidhi vigezo vya redio ya kikristo.
Ubabe sii ubabe, ukorofi si ukorofi, ni kama vile...
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj Mussa Salum amesema taasisi iliyokusanya fedha kwa waumini wapatao 100 na kushindwa kuwasafirisha kwenda hija, isakwe na kuchukuliwa hatua za kisheria...