Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hello JF, Leo nilikua nina ombi, Serikali itu INVOLVE kwenye maamuzi yake........... Umuhimu,kama Taifa naamini,kuna watu tofauti,wenye knowledge,skills and experience tofauti, Wote kwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mwigulu Nchemba amesema serikali inaandaa utaratibu wa kuwawezesha wafungwa wenye ujuzi na walijirekebisha kitabia kuweza kujiajiri na hata kuajiriwa hatua...
1 Reactions
4 Replies
909 Views
Habari. Naomba kujua Lissu anamiliki law firm yake au ni partner kwenye law firm ipi? Au anapractise law mwenyewe. Je yeye ame specialize kwenye vitu gani hasa zaidi ya mambo ya katiba na kesi...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha magazeti asubuhi kupitia RFA, siku akiyasoma huyu jamaa utagundua kuwa kuna habari hasomi kwenye magazeti mengine tena ukurasa wa mbele, atakusomea habari kwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Samahani wana jamvi. Naomba kuelekezwa jinsi ya ku search chanel kwenye king'amuzi cha continental. Maana Kila Niki search naambiwa database empty. Kama kuna njia nyingine naomba mnisaidie
0 Reactions
2 Replies
5K Views
CHADEMA,kupitia Meya wa jiji la Dar-es-Salaam, nawashauri muanzishe harambee ya kuwachangia waathirika wa bomoabomoa mkoa wa Dar-es-Salaam. Zoezi hili liratibiwe na Meya kwa kushirikiana na...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Wandugu za weekend, Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jamaa kaweka Planning yake iko poa yaani ana focus sana. Ndio sifa ya kiongozi kuangalia ya mbele kabla ya watu wako. Kwa plan ya...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Kumaliza siku ndefu ya kazi kisha kupitia pub sio kitu ambacho hakijazoeleka miongoni mwa watanzania. Pombe inatumika kupoza stress za wiki nzima na mara nyingine kuleta ndoto njema. Japokuwa...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
WAKIMBIZI wa Burundi walioko katika Kambi ya Nduta iliyopo Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wamepunguziwa chakula na kusababisha wengine kuanza kujihusisha na wizi. Hali hiyo ilibainika hivi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Amancio Ortega Gaona ni mfanyabiashara mkubwa sana wa nchini Hispania na kwa sasa ndiye mtu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes, akiwa na makadirio ya utajiri wenye thamani ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimejaribu kufatilia mafuta mengi ya kupakaa ya losheni ktk ule mchanganyiko wa mafuta huwa huwa wanaandika kwamba wanachanganya na alcohol Na nikawaza kitu kimoja kimoja huenda kwa mtu ambaye...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Chaneli yako pendwa ya ZBC inapenda kuwatangazia kuanzia tarehe 31/8/2017 watazima rasmi mitambo yao ya analogy na kuingia kwnye mfuno digital hvyo wananchi wote Wanatakiwa kununua ving'amuz ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) imekamilisha awamu ya kwanza ya ukarabati wa shule 10 kongwe za Serikali, ili kusaidia miundombinu bora ya kujifunzia na kufundishia pamoja na kuongeza nafasi za...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Niliwahi alikwa ITV,katika kipindi cha MEZA HURU ,kuzungumzia Madawa ya kulevya TANZANIA. siku 3 baada ya kufanya uchunguzi na namna swala hili lilivyokuwa linashamiri hasa maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Waimbaji wa nyimbo za injili wanagoma kuitwa wasanii! wakati uimbaji wao na jinsi wanacheza ni full wako kisani zaidi! badilikeni, tutawaita watumishi wa Mungu! mnalazimisha muitwe watumishi! nani...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za jioni wanajukwaa! Nahitaji kujuzwa kuhusu sheria hii: Abiria anaekaa kiti cha nyuma baada ya siti za mbele ni lazima afunge mkanda?? Maana nimekutana na utata leo jioni, kuna trafiki...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
ASKARI AJIUA IGUNGA Askari aliyekuwa akifanya kazi kituo kidogo cha polisi tarafa ya Igurubi wilayani Igunga mkoani Tabora, amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia shuka kutokana na kinachodaiwa kuwa...
1 Reactions
151 Replies
18K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea taarifa ya mkemia wa serikali iliyoonesha kwamba sampuli ya mkojo wa Video Queen, Agnes Gerald "Masogange" una chembechembe za dawa za kulevya. Hakimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ikimuonesha tembo mwenye maneno KING KIBA akirukiwa na simba wenye majina ya washindani wa Alikiba. Hii inamaana Kiba ni kama tembo asiyewezwa na simba.
1 Reactions
2 Replies
671 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…