Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 909
Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ikimuonesha tembo mwenye maneno KING KIBA akirukiwa na simba wenye majina ya washindani wa Alikiba. Hii inamaana Kiba ni kama tembo asiyewezwa na simba.